Uchaguzi 2020 Kampeni za mwaka huu CHADEMA itakuwa vituko. Eti ajenda yao Tundu Lissu kapigwa risasi

Maendeleo yako mikononi mwako na hayaletwi na hilo genge, mwenyewe umeeidhiiika na bk7 yako.
Ndo maana mradi mkubwa wa umeme wa gharama nafuu unajengwa,ili gharama za uzalishaji kwenye viwanda na mambo mengine zishuke.
Tuuze bidhaa nyingi nje ya nchi na viwanda vikubwa vitafunguliwa ajira zitaongezeka na maisha yatakuwa nafuu.
 
Wakichagua chadema mtawarudisha kazin ? Yan wakiwaamin kua wakiwachagua mtawarudisha kazin Basi sitakua na Shaka Tena na nyeti vyao [emoji1787][emoji1787][emoji1787] feki Mana watakua wajinga grade one kushinda hata Bata
Yaan km waliomaliza vyuo,vyeti feki,watumishi na wengineo km watachagua sisiemu basi tz tuendelee kubuluzwa hadi kufa kwetu maana ni ujinga tuu
 
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke mpaka Basi

Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa ticket ya chadema kwenye nafasi ya Urais

Wakat Rais John Pombe Magufuli anaonyesha Miradi mikubwa mikubwa ndani ya nchi na kuonesha watanzania ni jinsi gani chadema wao wamepanga kuja kuwaonyesha watanzania Miguu ya Tundu Lisu kwamba watakua wanazunguka nchi mzima kuonyesha watu Makovu ya risasi alizo pigwa huku lawama wakiitupia serikali

Baadh ya ajenda za CHADEMA mwaka huu wa kampeni
Tundu Lisu kapigwa risasi

Akwelina kufa
Na tume huru

Embu tujiulize hivi chadema Mpaka leo Wana uthibitisho kua Tundu Lisu alipigwa risasi na serikali pia CHADEMA wanatakiwa wajue kua lazima Tundu Lissu ahojiwe na aziweke wazi shutuma zake alizo kua anampelekea Rais moja kwa moja. Na aonyeshe ushahidi. Bila hivyo atataka apande watu kichwani

Swala la tume huru CHADEMA kulilia leo ni sawa na kujiaibisha kama Spika anashtakiwa kwa kuivunja katiba Basi hata chadema nao washtakiwe sababu kuikataa tume iliopo ni sawa na kutaka kuvunja katiba
Yaani majitu ya ccm huwa hayana point kabisa,hivi umeandika Uharo gani huu pumba tupu
 
Inaonyesha ulipendezwa na tukio la kinyaama kama hilo
Shame on u
Eti tupo upande wa black america marekan wanavyo andamana wakati nafuu wazungu kuliko nyie
 
Chadema huijui niulize Mimi ikoje ata mbowe huenda haijui Ni Chama Imara na mwelekeo sahihi Wa nchi yetu. Magugili anateseka kwa waganga anaikuta kubwa kuliko 2015
Na atapata tabu sana.

Back
Top Bottom