Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sure, kama ambavyo "aliyeagizwa apigwe risasi ANATAKIWA AISHI"Yule alitakiwa Afe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure, kama ambavyo "aliyeagizwa apigwe risasi ANATAKIWA AISHI"Yule alitakiwa Afe.
Ile picha yake iliyosambaa mtandaoni anayoonyesha majeraha ndio inatakiwa Iprintiwe kubwa kabisa isambazwe kila mkoa, wilaya, tarafa kata, vijiji na vitongoji.
Isitoshe iwe kwenye vipeperushi na ratiba za my kutano.
On the contrary CCM wanaonyesha picha za;
1. Ndege boing na Bombadier 9
2. Uwanja wa Ndege JNIA Terminal 2 na 3
3. Mwendokazi phase 2 mbagala
4. Meli za Mwanza
5. Upanuzi wa Bandati ya Dar es Salaam
6. SGR
7. Stigler Gourge
8. Kudhibiti uwindaji haram wa wanyama
9. Ujenzi wa vituo vya afya
10. Mfumo wa Elimu bila malipo kuanzia darasa la kwanza hadi firm IV
List ni ndefu kwa kweli
Hapa unawatukana watanzania na kumkufuru Mungu ni sawa na kusema watanzania wote wapumbavu kwakuwa hawawezi kuona maovu ya CCM hivyo hawawezi kuikosoa.
Haya Wala sio Mambo ya kujisifu kwasababu kwanza mmeichelewesha nchi yetu kwa miaka 50+ ya Uhuru mnajisifu kujenga vituo vya afya Leo wakati nyie ndio mmekuwepo toka Uhuru kifupi CCM ndio kikwazo Cha maendeleo hayo uliyoyaorodhesha tulitakiwa tuwe nayo toka 1985-90
Ccm hawawezi jibu hoja za wananchi tunawasubiria October,
natabili mpaka iyo October wapo watu watakua wanatembea peke yao wakiongea Chadema
Au wakati amelala itatokea kupiga kelele uku akitamka Chadema
Why kila Sikh nyuzi za chadema ,inaanzaa niingia akilini kwamba Wenda hiki Chama I shida
Mbona ni kama unawasemea Mkuu au ndo wamekutuma ueleze ajenda zao ndo zitakuwa hizo?Biggest piece of crap I've ever seen!!!
Mbona kama unawasema CCM wenzio wanaotaka bangi ihalalishwe aliesema bangi ihalalishwe si msukuma yule mbunge wa mwanza kwahiyo simply wahuni ni CCM kwa maneno yako mwenyewe.Watanzania wangekua na nyie kwenye harakat zenu wange waunga mkono pia kwenye kampen ya no hate No fear wangekua na nyie bega kwa bega Ila wakawadharau mkawa Kama kikundi Cha wahum wanao dai bang ialalishwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Alitakiwa afe na binadamu Mungu akakataa hilo unalisemeaje? Na Kama Mungu alikataa unadhani hatia mbele za Mungu iko kwa Nani nyie mliotaka kumuua au yeye?Yule alitakiwa Afe.
Mbona kama unawasema CCM wenzio wanaotaka bangi ihalalishwe aliesema bangi ihalalishwe si msukuma yule mbunge wa mwanza kwahiyo simply wahuni ni CCM kwa maneno yako mwenyewe.
Kuna wale wabibi na wababu wanaovaa vilemba na kofia wanaiaminishwa upinzani utaleta Vita Wana uelewa mdogo kwasababu wangetakiwa kuhoji Kama upinzani utaleta vita mbona umeruhusiwa na katiba? Kmsingi uwepo wa CCM unachagizwa na wajinga wengi Tanzania ujinga ukiondoka na CCM itaondoka.Ccm inategemea ujinga wa wananchi kusurvive, Ccm inategemea majitu majinga Kama mleta Uzi kuitetea,Ccm inategemea ujinga wa viongozi wake hasa awamu ya 5 kuendelea kuumiza wananchi walioikataa....
Ccm inategemea ujinga wa wananchi kusurvive, Ccm inategemea majitu majinga Kama mleta Uzi kuitetea,Ccm inategemea ujinga wa viongozi wake hasa awamu ya 5 kuendelea kuumiza wananchi walioikataa....
Kuna wale wabibi na wababu wanaovaa vilemba na kofia wanaiaminishwa upinzani utaleta Vita Wana uelewa mdogo kwasababu wangetakiwa kuhoji Kama upinzani utaleta vita mbona umeruhusiwa na katiba? K
Ule wa trilio 1.5Sio ujinga wa kumezea b8 bila kujal [emoji1787][emoji1787]
Nisome vizuriKuna wale wabibi na wababu wanaovaa vilemba na kofia wanaiaminishwa upinzani utaleta Vita Wana uelewa mdogo kwasababu wangetakiwa kuhoji Kama upinzani utaleta vita mbona umeruhusiwa na katiba? Kmsingi uwepo wa CCM unachagizwa na wajinga wengi Tanzania ujinga ukiondoka na CCM itaondoka.