Uchaguzi 2020 Kampeni za mwaka huu CHADEMA itakuwa vituko. Eti ajenda yao Tundu Lissu kapigwa risasi

Uchaguzi 2020 Kampeni za mwaka huu CHADEMA itakuwa vituko. Eti ajenda yao Tundu Lissu kapigwa risasi

Sio ujinga wa kumezea b8 bila kujal [emoji1787][emoji1787]
Angalia mlivyo wajinga,huyo Mbowe mnavomuogopa angekula hizo pesa angekua mtaani sahivi?achana na siasa za pccb wanazotaka kufanya,mlimfunga kwa kesi ya kusingizia kumuua akwilina mmeshindwa Nini kumfungulia mashitaka kwa hili la kisiasa mnaloliunda?.ccm mnakitete...tulieni vzr.
 
Hivi, CCM tunamtapeli na kumlaghai nani kuhusu kuichukia rushwa uchaguzini?
Thread starterVUTA-NKUVUTE Start dateToday at 10:20 AM
Tags ccm rushwa
 
Sisi agenda yetu itakuwa ni kuimaliza COVID-19 kwa nyugu...watu walitubishia ila wamekubali...cha kifanya sasa ni kuwashirikisha WHO ili nyugu hizi ziwafikie wa Ulaya, Marekani na Asia.

Nyungu tunaingia nayo 2020 kuiombea kura kwa wananchi.
 
agenda kuu kuamsha watanzania kuachana na ulaghai wa ccm
 
Makada sijui tunakwama wapi? Yaani tupo mstari wa mbele kuitaja CHADEMA na kuandika CHADEMA kuliko CCM.Yaani headlines kwenye Jukwaa ili zaidi ya 10 niza CHADEMA zikiwa zimeandikwa na makada alafu za CCM ni nne ambazo zimeandikwa na makda lakini ata hizo nne aziongelei lolote kuhusu mafanikio au changamoto za awamu ya tano. Tunaendelea kuijenga CHADEMA kuliko CCM.
 
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke mpaka Basi

Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa ticket ya chadema kwenye nafasi ya Urais

Wakat Rais John Pombe Magufuli anaonyesha Miradi mikubwa mikubwa ndani ya nchi na kuonesha watanzania ni jinsi gani chadema wao wamepanga kuja kuwaonyesha watanzania Miguu ya Tundu Lisu kwamba watakua wanazunguka nchi mzima kuonyesha watu Makovu ya risasi alizo pigwa huku lawama wakiitupia serikali

Baadh ya ajenda za CHADEMA mwaka huu wa kampeni
Tundu Lisu kapigwa risasi

Akwelina kufa
Na tume huru

Embu tujiulize hivi chadema Mpaka leo Wana uthibitisho kua Tundu Lisu alipigwa risasi na serikali pia CHADEMA wanatakiwa wajue kua lazima Tundu Lissu ahojiwe na aziweke wazi shutuma zake alizo kua anampelekea Rais moja kwa moja. Na aonyeshe ushahidi. Bila hivyo atataka apande watu kichwani

Swala la tume huru CHADEMA kulilia leo ni sawa na kujiaibisha kama Spika anashtakiwa kwa kuivunja katiba Basi hata chadema nao washtakiwe sababu kuikataa tume iliopo ni sawa na kutaka kuvunja katiba
Mtoa mada una uwezo mdogo sana wa kujenga hoja. Yaani upo chini sana. Nakushairi usijisumbue tena kufanya hivi. Unajiaibisha wewe na familia yako na kukiathiri Chama chaji. Buk 7 huwezi pewa kwa upupu huu
 
Kwa taarifa yako sio hilo tu!tutaongezea kuwa jiwe ni mzinzi kazaa na mke wa balozi wa huko mashariki ya mbali!!!
 
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke mpaka Basi

Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa ticket ya chadema kwenye nafasi ya Urais

Wakat Rais John Pombe Magufuli anaonyesha Miradi mikubwa mikubwa ndani ya nchi na kuonesha watanzania ni jinsi gani chadema wao wamepanga kuja kuwaonyesha watanzania Miguu ya Tundu Lisu kwamba watakua wanazunguka nchi mzima kuonyesha watu Makovu ya risasi alizo pigwa huku lawama wakiitupia serikali

Baadh ya ajenda za CHADEMA mwaka huu wa kampeni
Tundu Lisu kapigwa risasi

Akwelina kufa
Na tume huru

Embu tujiulize hivi chadema Mpaka leo Wana uthibitisho kua Tundu Lisu alipigwa risasi na serikali pia CHADEMA wanatakiwa wajue kua lazima Tundu Lissu ahojiwe na aziweke wazi shutuma zake alizo kua anampelekea Rais moja kwa moja. Na aonyeshe ushahidi. Bila hivyo atataka apande watu kichwani

Swala la tume huru CHADEMA kulilia leo ni sawa na kujiaibisha kama Spika anashtakiwa kwa kuivunja katiba Basi hata chadema nao washtakiwe sababu kuikataa tume iliopo ni sawa na kutaka kuvunja katiba

Mwenyezi Mungu akujalie ili nawe uishi uje ushuhudie ndugu yako wa karibu akipigwa risasi zaidi ya thelathini!
 
Yaan km waliomaliza vyuo,vyeti feki,watumishi na wengineo km watachagua sisiemu basi tz tuendelee kubuluzwa hadi kufa kwetu maana ni ujinga tuu
 
Back
Top Bottom