mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
- Thread starter
- #41
Mue na ushaid tu mnapokua mnatoa shutuma
uzuri habari za TL kupigwa risasi zilisambaa hadi vijijini kbs ndani ndani hakuna mwananchi asiyejua...hii ni kete muhimu kuitumia wakati wa uchaguzi kuwaeleza wananchi ukatili wa serikali awamu ya 5 pale inapokosolewa.
na kuonesha kwamba kuna wakuu wanahusika kwenye hili hakuna yeyote angalau mshukiwa aliyekamatwa
hapo kampeni zitanoga, ukiongezea na ukali wa maisha kitaeleweka tu