johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa upande wa CCM inaeleweka chama hicho kina rasilimali za kutosha hivyo mkoa unaweza kugharamia shughuli zote za kampeni ya Rais katika mkoa husika.
Nauliza kwa upande wa CHADEMA na ACT Wazalendo kama wana ukwasi wa kuweza kumudu kufanya kampeni nchi nzima!!
Kwa mfano CHADEMA walifeli kuchangishana sh 300m za kuwatoa viongozi wao Segerea hadi Rais Magufuli akaingilia kati kuwachangia sh 38m na Polepole wa CCM akatoa sh 30m.
Sasa wataweza kuchangishana mabilioni ya kampeni?
Bado hamjachelewa.
Maendeleo hayana vyama!