johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee Chadema ni mabepari......yule Lisu anafurahisha baraza tu!Bwashe kwani masikini mwenzetu Lissu ameshapitishwa?
Hili sio swali la kuuliza..kwani chadema au cuf au act ni waChina......
Anza sasa kuchangia tusije kuachana mtoni!Masikini humtanguliza Mungu mbele. Pesa na watu ni raslimali ya Mungu. Kwa hiyo usihofu. Kampeni za CDM zitafanyika bila matatizo. Nami nitawachangia.
Wanachama tulizichangia kwa miaka mingi tu!Hivi hizi tuzoziita rasilimali za ccm walizitoa wap na ƙwanini vƴama vingine havina???😊😊
Uchaguzi uliopita Lowassa alitembelea 60% ya nchi pekee!Hivi huu mwaka ndio 1995?
Mwaka wa kwanza wa uchaguzi kuhusisha vyama vingi vya siasa?
Wakati mwingine si vizuri kuanzisha uzi ukiwa chooni. Kule kuna viumbe wabaya.
Miaka hiyo yote uliwahi kujiuliza, wanaweza SAU, TADEA, CHAUMA, NCCR, sembuse CHADEMA NA ACT!
Ujirani mwema bwashee!Hahaahhaa jirani bana.
Ila mleta mada haya masuala ya ndani hayamuhusu kama watakosa fedha wanachama wao watawachangia
Mwambie zitagharamiwa na wale waliowalipia hela ya adhabu wakina Mbowe, Mdee na wengineo.Watanzania tunaojitambua tutachanga tena kwa hiari si kwa KUSHURUTISHWA.
🙊hmmm ƙwaiƴo hizo staɗium amɓazo zipo ƙaribu ƙila mkoa majengo ƙila ƙijiji tz nzima mƙanunua🙉🙊Wanachama tulizichangia kwa miaka mingi tu!