Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi wa Rais kwa CHADEMA zitagharamiwa na nani?

Bwashee Chadema ni mabepari......yule Lisu anafurahisha baraza tu!
Bwashee hata Obama alipewa support na mabepari ya ndani ya chama

muda haupoi...endelea kuhabarisha namna Lissu anachaguliwa

halafu ujikaze...usije maliza mwendo kwa mshtuko wa kinachotokea
 
Kwani chaguzi zooote zilizopita CHADEMA hela alikuwa anatoa babako.
 
CCM wanatumia magari ya serikali viongozi na fedha za serikali kufanya kampeni. CDM watatumia fedha na nguvu ya Umma kufanya kampeni. Na baada ya hayo nashangaa mno kuona namna ambavyo ccm inavyokoseshwa usingizi na mtu mmoja au wawili tu ndani ya CDM! Kweli CDM mwamba.
 
Ipo siku tu viwanja vyote vya TANU vitarudishwa serikalini kibabe
🙏🙏🙏 Huu uhuni wa ƙujimiliƙisha rasilimali za wananchi ƙuwa za chama utaƙoma maana sehemu mɓamɓali zimeteleƙezwa hata hazienɗelezi, uƙicheƙi utaƙuta zimepigwa chata la ccm how😠
 
Unatia aibu sana !
 
Kwanza aliekwambia Chadema walifeli kuchangishana shilingi 300 milioni ni nani?!

Wapenzi na wanachama kujitolea haina maana viongozi walishindwa, ujifunze kiswahili bwashee.
 
Hahaahhaa jirani bana.

Ila mleta mada haya masuala ya ndani hayamuhusu kama watakosa fedha wanachama wao watawachangia
Jirani kuna maswali mengine ya kichokozi.. hawa jamaa wa siasa huwa wanakaguliwa na mkaguzi wa serikali kuhusu mapato na matumizi yao, hata kama hatuwapendi kuna sehemu wana haki zao....
 
Kweli jirani ila wengi jukwaa hili wanaendeshwa na ushabiki zaidi
Jirani kuna maswali mengine ya kichokozi.. hawa jamaa wa siasa huwa wanakaguliwa na mkaguzi wa serikali kuhusu mapato na matumizi yao, hata kama hatuwapendi kuna sehemu wana haki zao....
 
Bwashee hata Obama alipewa support na mabepari ya ndani ya chama

muda haupoi...endelea kuhabarisha namna Lissu anachaguliwa

halafu ujikaze...usije maliza mwendo kwa mshtuko wa kinachotokea
Hahahaaaa....... Labda 2025!
 
Chadema itapigwa tafu na belgeum na act itasaidiwa na ujeruman mkuu.
 
Mkuu,Chadema wanao mtaji tayari.Hata wasipopiga Kampeni Watashinda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…