Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi wa Rais kwa CHADEMA zitagharamiwa na nani?

Zitagaramiwa na CCM
 
Kura hamuwezi kuiba,tumejipanga
Pigeni kampeni muwashawishi wananchi wapo wengine wasiojua CDM ni nini..

Sio uishie kusema hata msipopiga kampeni mnashinda.
 
Bwashee Chadema ni mabepari......yule Lisu anafurahisha baraza tu!
Mlisema Nyalandu atashinda then ameshindwa mnaanza kuuliza fedha za kampeni.

Meko analo mwaka huu. Tuko tayari kuchangia kampeni za Lissu na CHADEMA kila wiki hadi zikamilike.
 
Mbona wa vyama vingine hamuwahoji ila chadema tu kunani kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…