Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Ila nyie jamaa ni wana harakati wazuri hapo tunawapa point, ila kuongoza nchi bado na uzuri wananchi asimilia 90 wanalijua hilo
Kwa utafiti upi uliofanya?Usiku mwema,usisahau kira yako ma yangu kwa Lissu!
 
 
kachoka ile.. nasema uongo ndugu zangu!??

Uchaguzi huu wa 2020 umekuwa ni challenge kwa CCM. Baada ya kupambana na Upinzani kwa miaka 5 ikiwemo; kuzuia mikutano, fukuzafukuza Bungeni, kununua Wabunge wa Upinzani, kupoteza na kushambulia Wapinzani kwa kutumia janja ya "watu wasiojulikana"(ingawa WANAJULIKANA), Magufuli a.k.a Jiwe na Timu yake walifikiri Uchaguzi Mkuu 2020 utakuwa mteremko!! Walichokutana nacho kwenye "pitch" kimewaacha midomo wazi!!!
Zile mbwembwe za PUSH-UPS this time hazipo badala yake mtu amesalimu amri kwa KUPIGA MAGOTI menyewe......!!!
Wapiga kura ni zaidi ya Wajumbe....!!!
Chezea wapiga kura weye!
 

Hujielewi
 
Napendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!
r
Naanza kuamini kuwa wewe ni wa gwanda, kumbe lisemwalo lipo kama halipo laja

Mataga original hawezi kukubali kumkutanisha Magufuli na TAL pamoja, ni mauaji kwa Magufuli
 
Ushindi ni zaidi ya 95% wala haitaji kampeni
 
Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
Ethiopia kuna maflyovers makubwa kuliko yaliyojengwa Dar es salaam

Kuna mradi mkubwa wa SRG kuliko yote barani afrika

Kuna shirika kubwa la ndege kuliko yote afrika, hayo ma dreamliner ya Magufuli zaidi ya mara ngapi sijui

Mradi mkubwa wa umeme 9000 megawatts wakati streigler gorge ni 2000

Kwa kuwa hayakuwa maendeleo ya watu leo hii kila mara wanakamatwa wakitaka kwenda SA kutafuta maisha bora

Labda wasiojulikana, sheria ya makosa ya mtandao, kuzuia siasa miaka 5, kuwatwanga wapinzani na yanonayofanana na hayo

By the way, angekaa nyumbani maana tume yake, polisi wake, msajili wa vyama wake woote na wengineo wanamfanyia kampeni vizuri tu, au siyo?
 
Ushindi ni zaidi ya 95% wala haitaji kampeni

Aisei wewe Jingalao kweli.
Polepole alisema CCM watashinda kwa Asilimia....85%.
Taasisi ya Utafiti ikasema....79%
Jingalao anasema........95%.
Je, kwa tathmini hizo 3 ipi itakuwa sahihi? Kinachooenekana hapa ni CCM kutaka kuwavuruga Watz kisaikolojia ili watakapo chakachua matokeo watu wasihoji!!!
Turudi 2015:
  1. Magufuli CCM.......58%....Kura 8 milioni.
  2. Lowassa CHADEMA....40%...Kura 6 milioni.
  3. Jumla ya Wapiga kura walikuwa....21 milioni.
Kwa mchanganuo huu matokeo ya mwaka huu yanaweza kuwa kinyume chake kama ifuatavyo:
Kwa Tanzania Bara:
  1. Tundu Antipas Lissu(CHADEMA).....58%.
  2. John P. Magufuli(CCM)............39%.
Kwa Tanzania Visiwani:
  1. Maalim Seifu(ACT)....................52%
  2. Dr. Hussein Mwinyi(CCM)..........42%
Najua NEC na CCM watajitahidi Sana kuiba na kuchakachua. Ila kwa Uchaguzi wa mwaka huu Dunia nzima imeamua KUIMLIKA TANZANIA kwa jicho la Tatu ili kuona Kama ni kweli huyu Jiwe pamoja na Udikteta, Ubabe, Ukiukwaji wa Katiba n.k. Kama kweli ataweza kushinda kihalali.
Iwapo NEC, CCM na Polisi watafanya upuuzi wao yale yanayoendelea huko Beralus yanakwenda kutokea Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…