Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,633
Hapo kuna valve ishachomoka. Huyu mzee angekuwa tu mzalendo. Kuisaidia nchi angeamua kufa tuRatiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.