OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
gari la mkaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Chama Cha Mapinduzi kina ratiba nzuri sana mgombea apumzike kwanza, kazi kubwa inafanyika field hana haja kupoteza nguvu, aache wapinzani wajikwae wenyewe kwa siku 10, alafu aje Dar kumalizia ngwe ya mwisho. Bravo CCMRatiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Mbona kwenye kampeni zake anafanya shughuli zote kwa pamoja.JPM ni Rais wa Nchi, kwa hiyo ni muhimu kupumzika kidogo hasa kwa ajili ya kufanya shughuli zingine za Urais.
ni wewe😅 Na hili uelimishwe!! Kweli hamna kitu hapa. Unahabari sio tu unatakiwa ushangae anaeomba aongezewe muda wa urais rais.. Bali washangae na wanaogombania urais na rais!.. kawaulize kwanini wanagombania urais na rais halafu jijibu nani ni mpumbavu!
Hakuna kupiga pushupsNgoja akirudi utaona anavyopiga push-up za kufa mtu!
Sasa kama ni rais anaomba urais wa aina gani tena!Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Jamiiforum sio Tena home of great thinker!!.. mkuu hujui kuwa kila baada ya miaka 5 tunachagua rais..? Yeye ni rais ndio lkn anaomba ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano.. asee tusichoshaneSasa kama ni rais anaomba urais wa aina gani tena!
We mbona 2015 mzee lowassa hakutaka kuacha gombea alhali alijua na alikua anamfaham jpm tena Kama waziri wake wakati akiwa waziri mkuu ? Nini kilimsukuma kwenda upinzani ili agombee ?kwa nini hakibaki ccm pamoja na kukatwa?Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
Kuandaa mkutano wa ccm ni gharama kubwa, pia inataji kukusanya watu kwa ushawishi wa pesa ,ivyo inaitaji muda mrefu kuandaa
Kwani yeye kupumzika ni makosa? Upinzani mna gubu dahYaani CCM akili zao ni tope tupu , kwa kuwa Jiwe Ni gari la mkaa linaenda gereji ndio mkaona mlazimishe na Lissu asifanye kampeni ushamba na ulimbukeni mbaya sana .View attachment 1588689
Yuko Zanzibar kule ratiba inapangwa na ZECKwani yeye ni wa kwanza kufanya kampeni akiwa rais, kwani Mkapa na Kikwete hawakufanya kampeni wakiwa marais hatukuwaona wakipumzika kwa siku 10.
Waongo Yuko zanzibarKwani yeye kupumzika ni makosa? Upinzani mna gubu dah
Ona fatuma karume alivyoojaa uongo Magufuli yuko Zanzibar Kwao akiendelea na kampeni kule eti anasema kapumzika stupidYaani CCM akili zao ni tope tupu , kwa kuwa Jiwe Ni gari la mkaa linaenda gereji ndio mkaona mlazimishe na Lissu asifanye kampeni ushamba na ulimbukeni mbaya sana .View attachment 1588689
Juzi tu katoka mapumzikoni!Lazima kuna tatizo!JPM ni Rais wa Nchi, kwa hiyo ni muhimu kupumzika kidogo hasa kwa ajili ya kufanya shughuli zingine za Urais.
Gari iko gereji!Sawa Chama Cha Mapinduzi kina ratiba nzuri sana mgombea apumzike kwanza, kazi kubwa inafanyika field hana haja kupoteza nguvu, aache wapinzani wajikwae wenyewe kwa siku 10, alafu aje Dar kumalizia ngwe ya mwisho. Bravo CCM
kachoka ile.. nasema uongo ndugu zangu!??Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.