Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

Sawa Chama Cha Mapinduzi kina ratiba nzuri sana mgombea apumzike kwanza, kazi kubwa inafanyika field hana haja kupoteza nguvu, aache wapinzani wajikwae wenyewe kwa siku 10, alafu aje Dar kumalizia ngwe ya mwisho. Bravo CCM
 
JPM ni Rais wa Nchi, kwa hiyo ni muhimu kupumzika kidogo hasa kwa ajili ya kufanya shughuli zingine za Urais.
Mbona kwenye kampeni zake anafanya shughuli zote kwa pamoja.

Acheni kujifichia kwenye kivuli 'shughuli zingine za uRaisi' wakati muda huo yupo bed rest.
 
😅 Na hili uelimishwe!! Kweli hamna kitu hapa. Unahabari sio tu unatakiwa ushangae anaeomba aongezewe muda wa urais rais.. Bali washangae na wanaogombania urais na rais!.. kawaulize kwanini wanagombania urais na rais halafu jijibu nani ni mpumbavu!
ni wewe
 
Sasa kama ni rais anaomba urais wa aina gani tena!
Jamiiforum sio Tena home of great thinker!!.. mkuu hujui kuwa kila baada ya miaka 5 tunachagua rais..? Yeye ni rais ndio lkn anaomba ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano.. asee tusichoshane
 
Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
We mbona 2015 mzee lowassa hakutaka kuacha gombea alhali alijua na alikua anamfaham jpm tena Kama waziri wake wakati akiwa waziri mkuu ? Nini kilimsukuma kwenda upinzani ili agombee ?kwa nini hakibaki ccm pamoja na kukatwa?
Je wewe unae sema ni mwanae ni kweli ulimpigia jpm Kura 2015 ? Au leo ndo wajifanya mwanaccm Sana wakati asubuhi uko uko ccm usiku upo chadema,mama lowassa alizunguka nchi nzima tafuta Kura za mzee lowassa ,au hata iyo historia hujui,iko ivi wewe ni mamluki ndani ya ccm hakuna jipya
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu

Mungu kumbuka chozi langu dhidi ya mja wako Lissu nililotoa wakati ameumizwa.Endelea kumlinda,kumbariki Na kumpa nguvu.

Amen
 
Kuandaa mkutano wa ccm ni gharama kubwa, pia inataji kukusanya watu kwa ushawishi wa pesa ,ivyo inaitaji muda mrefu kuandaa

Wanangoja CRDB iwaibie wateja wake halafu wakachukue ziwasaidie kwenye kampeni!!!
 
Yaani CCM akili zao ni tope tupu , kwa kuwa Jiwe Ni gari la mkaa linaenda gereji ndio mkaona mlazimishe na Lissu asifanye kampeni ushamba na ulimbukeni mbaya sana .
Screenshot_20201002-161120.png
 
Kwani yeye ni wa kwanza kufanya kampeni akiwa rais, kwani Mkapa na Kikwete hawakufanya kampeni wakiwa marais hatukuwaona wakipumzika kwa siku 10.
Yuko Zanzibar kule ratiba inapangwa na ZEC
 
Sawa Chama Cha Mapinduzi kina ratiba nzuri sana mgombea apumzike kwanza, kazi kubwa inafanyika field hana haja kupoteza nguvu, aache wapinzani wajikwae wenyewe kwa siku 10, alafu aje Dar kumalizia ngwe ya mwisho. Bravo CCM
Gari iko gereji!
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

kachoka ile.. nasema uongo ndugu zangu!??
 
Back
Top Bottom