Ukiona mshindani wako hana uwezo hata wa kufikisha nusu ya kura inabidi unakaa na kupumua
Ngali ya nkaa eti?Si katoka kupumzika juzi tu! Something is wrong.
Gari la mkaa trip moja porini trip moja gereji.
Pia napendekeza wasanii wawepo wengi zaidi kutoka UsA, Nigeria na kenyaNapendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!
Hivi huyo Amsterdam ni nani katika taifa hili?Magoti yanauma nini ? anayapumzisha kwanza .View attachment 1587935View attachment 1587936
Tundu Lissu anatosha sana Urais....
[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia WatanzaniaEngine imetema moto,akicheza piston inatokea ubavuni halafu mambo yanakua bullbull
Hivi huyo Amsterdam ni nani katika taifa hili?
Huyu anazidi kumuaribia Lisu sijui kama hata mmaelewa.
na vitisho vya msipomchagua naniiii sitawaletea maji!!! Yaani waBongo hawajawahi kupata maji miaka 60 ya uhuru, waje kutishwa na kutowaletea maji kwa miaka mitano ijayo!!!!aaah...tutamisi tamasha la muziki wa bure!.
[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia Watanzania
Utoke kwenye mapumziko ya siku tano ufanye kazi siku tatu upumzike siku nane
Something is wrong somewhere.
Huyo ni Wakili nguli wa Kimataifa anayetumika mpaka kwenye kesi za ICC- Mahakama ya Jinai ya Kimataifa.
Jamani Maguli na CCM yake pumzi imekata. Very soon tutasikia mtu Yuko ICU anapumlia mashine.
TAL- 2020 ni muziki mnene!
Wakili nguli wa mahakama ya kitapeli ya kinataifa ya mabeberu, waliopigwa tobo na Uhurutto.
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Kumbe?Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.