Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Kwa muonekano ule wa bashasha kule Mbeya n, Songwe na kwengineko alipofanya kampeni. Hata chekechea wa utabibu atakumbai he is ok health wise mengine ni Mungu na ndivyo ilivyo kwa kila mwanadamu, mimi na wewe.

Hujaelewa wewe!
Kusema mtu yuko mahututi ICU anapumlia mashine sikumaanisha physical sickness.....!!! Ni kuxidiwa na kuelemewa mbinu za Kampeni na hivo kukata tamaaa!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia Watanzania

Utoke kwenye mapumziko ya siku tano ufanye kazi siku tatu upumzike siku nane

Something is wrong somewhere.
Kama Gari la Mkaa vile,siku mbili shamba siku tano gereji
 
Acha kudanganya watu kwani ni yeye wa kwanza kupiga kampeni akiwa rais? hao wengine hawakuwa na majukumu? alidhani ni kitu rahisi eee gari linachemsha kila dk 10, nalo utaita gari au?
Kwani Kuna ulazima upi wa kupiga kampeni Kama walivyokuwa wakipiga wengine..?
Anyway majibizano yetu haitafanya yeye afute au asifute ratiba zake!.. Bora tukafanye mengine maana hata hiyo likizo yake haikufaidishi au kukupa hasara.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia Watanzania

Utoke kwenye mapumziko ya siku tano ufanye kazi siku tatu upumzike siku nane

Something is wrong somewhere.

Nimemsikia Rais Donald Trump wa Merekani na mkewe wamekutikana na MAAMBUKIZI YA CORONA VIRUS katikati ya Kampeni za Urais wa Merekani na Sasa wako kwene Quaratine ya 14 days....!!!!
Tunajua Tanzania Corona ipo kimyakimya, hofu yangu ni yasije yakatokea ya Trump hapa kwetu ikawa pata shika nguo chanika!!!
 
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Tatizo chadema wanaendesha siasa za chuki wanachukia hata mazuri, ndiyo maana hata flyover iliyofunguliwa jana wanasema maendeleo ya mavitu. Rais atakuwa akipiga kazi za kuwaeletea maendeleo wananchi 4-11 octoba. Alipokuwa Iringa alisema anatarajia kupokea ugeni mkubwa toka nje wa kiserikali kwa kuwa mahusiano ya kimataifa yamekua kupinukia, akini kwa kuwa hamfuatilii ndiyo hasara hizo
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

sawa akamwage oil chafu, Huku tunaendelea na Lisu operesheni chakaza ccm
 
Back
Top Bottom