Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Engine imetema moto,akicheza piston inatokea ubavuni halafu mambo yanakua bullbull
[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia Watanzania

Utoke kwenye mapumziko ya siku tano ufanye kazi siku tatu upumzike siku nane

Something is wrong somewhere.
 
Mapumziko yamekuwa mengi sana.

Tatizo liko wapi?

Unforgetable

Tatizo mwaishi kwa mazoea na ndio maana baada ya "a very geneous and serolious President of Tanzania-JPM." Kubadilisha atitudes za uendeshaji=utendaji wa serikali kafanya maajabu ya Tanzania kuushangaza ulimwengi ndani ya miaka 5. Kwa wengine wakinasangarara hili nalo ni nongwa.

Tathimini zote zinaonesha kesha shinda sasa kwanini asifanya mambo mengine yenye uzito zaidi. Si kila anachofanya Rais utaambiwa vingine ni siri.
 
Mwaka huu ndio mwaka wakampeni na Bata kwakua hakuna upinzani Ila 2015 ilikua hakuna kulala.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia Watanzania

Utoke kwenye mapumziko ya siku tano ufanye kazi siku tatu upumzike siku nane

Something is wrong somewhere.

Jamani Maguli na CCM yake pumzi imekata. Very soon tutasikia mtu Yuko ICU anapumlia mashine.
TAL- 2020 ni muziki mnene!
 
Jamani Maguli na CCM yake pumzi imekata. Very soon tutasikia mtu Yuko ICU anapumlia mashine.
TAL- 2020 ni muziki mnene!

Kwa muonekano ule wa bashasha kule Mbeya n, Songwe na kwengineko alipofanya kampeni. Hata chekechea wa utabibu atakumbai he is ok health wise mengine ni Mungu na ndivyo ilivyo kwa kila mwanadamu, mimi na wewe.
 
Wakili nguli wa mahakama ya kitapeli ya kinataifa ya mabeberu, waliopigwa tobo na Uhurutto.

Jiulize hivi: Baada ya tweet ya Amsterdam kwa Mahera na IGP Ziro umewasikia kufurukuta tena?
Kama unataka kujua maana ya Mabeberu nenda Kisutu mnada wa machinjio ya Mbuzi utawakuta huko.
Amsterdam siyo beberu, wala Marekani, wala UK, wala Uholanzi wala Ujerumani, wala Jumuia ya Ulaya, wala Uingereza, France n.k.
Hawa wote ni washirika wetu Kimaendeleo and nothing more nothing less!!
 
Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
Kumbe?
FB_IMG_1601425432271.jpg
 
Back
Top Bottom