Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kwa muonekano ule wa bashasha kule Mbeya n, Songwe na kwengineko alipofanya kampeni. Hata chekechea wa utabibu atakumbai he is ok health wise mengine ni Mungu na ndivyo ilivyo kwa kila mwanadamu, mimi na wewe.
Kama Gari la Mkaa vile,siku mbili shamba siku tano gereji[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia Watanzania
Utoke kwenye mapumziko ya siku tano ufanye kazi siku tatu upumzike siku nane
Something is wrong somewhere.
LISSU AKIRUDI ANAANZA KUFANYA Racking , baada ya kufanya fratering attacks kwenye Ngome za adui especially Interlacustrine Region🤣🤣🤣Operesheni Chakaza inayoongozwa na Lissu ...huku uwanja wa mapambano watu wamepoteana
Wanjiru Frank Rudisha UPANGA WAKO ALANI 🤣🤣🤣🤣👊👊👊Kama Gari la Mkaa vile,siku mbili shamba siku tano gereji
Kwani Kuna ulazima upi wa kupiga kampeni Kama walivyokuwa wakipiga wengine..?Acha kudanganya watu kwani ni yeye wa kwanza kupiga kampeni akiwa rais? hao wengine hawakuwa na majukumu? alidhani ni kitu rahisi eee gari linachemsha kila dk 10, nalo utaita gari au?
Siku 8!? Hatari. Wakati mwenzie anaanza na chopa karibuni? Si atakuta kashaimaliza nchi?Habari ndiyo hiyo. Akitoka mapumzikoni atafanya mkutano mmoja Dar maeneo ya Kinondoni Biafra.
View attachment 1587926
Wanapisha mitihani ya darasa la saba iishe maana wakati wa mitihani wanafunzi hawaendi shuleKwenye show yenu wasanii wangapi watakuwepo? Mtaacha watoto waende shule au shule zitafungwa siku hiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia Watanzania
Utoke kwenye mapumziko ya siku tano ufanye kazi siku tatu upumzike siku nane
Something is wrong somewhere.
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23]kikao cha mabaloziSi katoka kupumzika juzi tu! Something is wrong.
Gari la mkaa trip moja porini trip moja gereji.
Tatizo chadema wanaendesha siasa za chuki wanachukia hata mazuri, ndiyo maana hata flyover iliyofunguliwa jana wanasema maendeleo ya mavitu. Rais atakuwa akipiga kazi za kuwaeletea maendeleo wananchi 4-11 octoba. Alipokuwa Iringa alisema anatarajia kupokea ugeni mkubwa toka nje wa kiserikali kwa kuwa mahusiano ya kimataifa yamekua kupinukia, akini kwa kuwa hamfuatilii ndiyo hasara hizoAmbacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Kuna jambo haliko vizuri na magu wallah!Siku 8!? Hatari. Wakati mwenzie anaanza na chopa karibuni? Si atakuta kashaimaliza nchi?
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Naona sasa hivi unajifanya kurudi kuwa karibu na CDM,subiri dawa ikuingie msaliti wewe.Siku 8!? Hatari. Wakati mwenzie anaanza na chopa karibuni? Si atakuta kashaimaliza nchi?
sawa akamwage oil chafu, Huku tunaendelea na Lisu operesheni chakaza ccmRatiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!