Clutch imeungua
Napendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
hakuna lolote anajua alivyowatesa watanzania,ndo maana sasa anatembelea magoti majukwaaniMagufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
Kwakuwa akili yako inaendana na swali ulilouliza nami nakujibu ndio.Yeye ndio rais wa kwanza nchi hii kuwa madarakani wakati wa uchaguzi?
Kwa siku hizo 8 anahamia katika jukumu lake analolipenda la kutumbua na kuteua upya. Si ajabu wilaya alizopita TAL kwa mafanikio makubwa, huku baadhi ya maDC na watendaji wakashindwa kumuhujumu kwa kificho ama kwa uwazi, pengine watakutana na dhahama kubwa. Stay tuned.Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Si anasemaga tuna mapesa mengi?Kuandaa mkutano wa ccm ni gharama kubwa, pia inataji kukusanya watu kwa ushawishi wa pesa ,ivyo inaitaji muda mrefu kuandaa
Nimemsikia Rais Donald Trump wa Merekani na mkewe wamekutikana na MAAMBUKIZI YA CORONA VIRUS katikati ya Kampeni za Urais wa Merekani na Sasa wako kwene Quaratine ya 14 days....!!!!
Tunajua Tanzania Corona ipo kimyakimya, hofu yangu ni yasije yakatokea ya Trump hapa kwetu ikawa pata shika nguo chanika!!!
We Mramba siku hizi baada ya kukosa uteuzi umeanza kuwa na akili timamuWanapisha mitihani ya darasa la saba iishe maana wakati wa mitihani wanafunzi hawaendi shule
Hayo majukumu inaonekana wakina Mkapa/JK hawakua nayo.Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Hapo ujue kulikuwa kuna mkutano na DEDs tena wiki ijayo Jumatatu lakini kwasababu wameshtukiwa watasogeza mbele, ndio maana siku za mapumziko zimekuwa nyingi. Lakini pia, watakuwa wamepanga kuita wachache wachache ndani ya muda huo. Spana zimekuwa si za mchezo na inaonekana kabisa kwenye sanduku la kura hawapati kitu. Sasa ni hujuma tu ndio njia pekee na watatekeleza bila kujali matokeo yake.Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Kikwete na Mkapa hawakuwa na hayo majukumu?Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
pesa inayotumika ipo juu kuliko makadilio mkuu ,pia timu ya kampeni inayokusanya watu mkoa mmoja, ndio inabidi iende mkoa mwingine kufanya michakato, ivyo inabidi ipate mdaSi anasemaga tuna mapesa mengi?
Cc Sky EclatSi katoka kupumzika juzi tu! Something is wrong.
Gari la mkaa trip moja porini trip moja gereji.
[emoji16][emoji16][emoji16] Kama nataka kuelewa ivi unavyomaanisha[emoji16][emoji16][emoji16]Wanapisha mitihani ya darasa la saba iishe maana wakati wa mitihani wanafunzi hawaendi shule