Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Napendekeza hapa Dar tungepiga show moja tu pale Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa pamoja!

Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka.

Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo kaa miezi 18 ...ndio ulipwe.

Sheria mpya ya 2018, Raisi Magufuli alisaini, lakini baadae akaja kufuta kikokotoo cha wastaafu pekee...Sasa wafanyakazi wanaofukuzwa kazi sekta binafsi kabla ya umri wa kustaafu wanataabika. Wenye kuona hili wamshauri Magufuli haraka sana na arekebishe maana Katiba imempa mamlaka.

Raisi Magufuli, rudisha FAO LA kujitoaa. watu walipwe pesa zao kwa mkupuo bila masharti ... Hiki ni kipindi cha Kampeni...Kura za Wafanyakazi sekta binafsi ni mamilioni...

Ndugu Bashiru na Pole pole...FAO LA Kujitoa..
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

Kwa siku hizo 8 anahamia katika jukumu lake analolipenda la kutumbua na kuteua upya. Si ajabu wilaya alizopita TAL kwa mafanikio makubwa, huku baadhi ya maDC na watendaji wakashindwa kumuhujumu kwa kificho ama kwa uwazi, pengine watakutana na dhahama kubwa. Stay tuned.
 
Nimemsikia Rais Donald Trump wa Merekani na mkewe wamekutikana na MAAMBUKIZI YA CORONA VIRUS katikati ya Kampeni za Urais wa Merekani na Sasa wako kwene Quaratine ya 14 days....!!!!
Tunajua Tanzania Corona ipo kimyakimya, hofu yangu ni yasije yakatokea ya Trump hapa kwetu ikawa pata shika nguo chanika!!!
Wanapisha mitihani ya darasa la saba iishe maana wakati wa mitihani wanafunzi hawaendi shule
We Mramba siku hizi baada ya kukosa uteuzi umeanza kuwa na akili timamu
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

Hapo ujue kulikuwa kuna mkutano na DEDs tena wiki ijayo Jumatatu lakini kwasababu wameshtukiwa watasogeza mbele, ndio maana siku za mapumziko zimekuwa nyingi. Lakini pia, watakuwa wamepanga kuita wachache wachache ndani ya muda huo. Spana zimekuwa si za mchezo na inaonekana kabisa kwenye sanduku la kura hawapati kitu. Sasa ni hujuma tu ndio njia pekee na watatekeleza bila kujali matokeo yake.
Unapumzikaje zaidi ya wiki moja kipindi cha lala salama cha kampeni?
 
Wanapisha mitihani ya darasa la saba iishe maana wakati wa mitihani wanafunzi hawaendi shule
[emoji16][emoji16][emoji16] Kama nataka kuelewa ivi unavyomaanisha[emoji16][emoji16][emoji16]

Watawakamatua wapi watoto wakujaza uwanja

Haki huinua TAIFA
 
Leo usiku wa manane nimeota kuwa kuna mgombea urais fulani wa nchi fulani ya asali na maziwa amekuwa arrested by cardiac arrest!
 
Back
Top Bottom