Hapo kuna valve ishachomoka. Huyu mzee angekuwa tu mzalendo. Kuisaidia nchi angeamua kufa tuRatiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
SASA WEWE HEBU SEMA, NIWAPI YEYE NA TEAM YAKE KWA TANZANIA HII HAWAJAKANYAGA? AKIJA AWAMU YA TATU ANAFANYA MARUDIO YA KUKAZIA TUU. MPAKA SASA TUNA 89% YA KURA ZOTE. JPM OYEEEE, PUMZIKA BABA KURA ZETU USHAZITEKA TAYARI NI ZAKOSi katoka kupumzika juzi tu! Something is wrong.
Gari la mkaa trip moja porini trip moja gereji.
Nimeipenda hiiSi katoka kupumzika juzi tu! Something is wrong.
Gari la mkaa trip moja porini trip moja gereji.
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Tufike mahali tuache Mungu afanye kazi yake. Magufuli afya mgogoro hawezi himili mikiki mikiki ya kampeni. Asilazimishe kukaa madàrakani wakati ni spanna mkononi, awapishe akina Tundu Lissu wenye afya zao waendelee na kutuongoza.Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Duu ni maneno ya kweli kabisa ni mazito yanatoa machozi Mungu atafuta machozi ya Lisu na wote wapenda amani duniani AmeenUnampiga mwenzio risasi 16, unapanga akazikwe kijijini kwao mara moja akisha kufa. Mungu anazuia anaepusha kifo. Then unashinikiza asionwe hospitali na wabunge wenzie, unamnyima kumlipia matibabu, unamnyima mshahara wake na mwishowe unamfukuza ubunge. Lakini bado Mungu anampigania mpaka anakuja kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania.
Naona wanaforce na Lissu aende...
Si katoka kupumzika juzi tu! Something is wrong.
Gari la mkaa trip moja porini trip moja gereji.
utaombaje kuongezwa mda wakati ni rais tayari?? pumbavu kabisasio rais anaomba urais bali rais anaeomba kuongezewa muda wa urais.
Nilijua masihara. Kweli garage ile ni noma.Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Ebwana wa majeshi tenda miujiza kabla ya tar 28Kwanii kanuni za tume zikoje kuhusu mgombea kuwa mgonjwa mara kwa mara
Kachoka huyo Mkuu ila ni king'ang'anizi wa madaraka ambayo yamemlevya.
Sijawahi ona Chama Cha Majitu manafiki kama haya....Jitu linasema limechoka halafu Majitu mengine yanaanza kushangi in hbblia..... What a non-sense!!!
😅 Na hili uelimishwe!! Kweli hamna kitu hapa. Unahabari sio tu unatakiwa ushangae anaeomba aongezewe muda wa urais rais.. Bali washangae na wanaogombania urais na rais!.. kawaulize kwanini wanagombania urais na rais halafu jijibu nani ni mpumbavu!utaombaje kuongezwa mda wakati ni rais tayari?? pumbavu kabisa
Hujaelewa wewe!
Kusema mtu yuko mahututi ICU anapumlia mashine sikumaanisha physical sickness.....!!! Ni kuxidiwa na kuelemewa mbinu za Kampeni na hivo kukata tamaaa!!!