Kampeni zimeanza za kulazimisha MVP kwa Pacome Zouzoua

Kampeni zimeanza za kulazimisha MVP kwa Pacome Zouzoua

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Yanga nimewanyooshea mikono maana mmeamua kuonyesha makucha yenu. Kwa nguvu zenu viongozi wametimuliwa kuanzia Bodi hadi TFF. Sasa mnaenda kumn'goa kiranja mkuu Wallace Karia na kusimika mtu wenu.

Wakati huo huo mnaenda kulazimisha MVP wa msimu huu awe Pacome pamoja na kwamba amekuwa na msimu wa kawaida mno na hastahili tuzo hiyo kwa msimu huu.

Huyo Pacome kwa takwimu anazidiwa na Janshalewa ambaye pamoja na kwamba simkubali ila "wanaume wanadanganya, wanawake wanadanganya ila namba hazidanganyi".

Kwa kuwa mamlaka kuanzia za soka hadi za nchi zimeonyesha hazina uwezo wa kuwazuia kwa lolote mtakalo, naomba nitangulize kongole zangu kwa mchezaji wenu Pacome Zouzoua kwa kuwa MVP wa NBC msimu wa 2024-25.
 
Pacome ni mchezaji mzuri and we respect that lakini numbers zipo against yeye.

Ahoua licha ya kutokuwa na manjonjo mengi ila bado kwenye tukio la mwisho amekuwa bora.

Ahoua anastahili vyote. MVP na top score
 
Hofu inadhoofisha kuliko ugonjwa wenyewe. Nashauri Mbumbumbu muwawahi wanasaikolojia. Wakati Yanga anapambania uhuru wa vyomba vinavyoendesha soka la Tanzania bila kuingiliwa na siasa za TZ nyie ndio kwanza mmekua mkififisha juhudi.

Amkeni mtakuja kushtuka kumekuchwa
 
Pacome ni mchezaji mzuri and we respect that lakini numbers zipo against yeye.

Ahoua licha ya kutokuwa na manjonjo mengi ila bado kwenye tukio la mwisho amekuwa bora.

Ahoua anastahili vyote. MVP na top score
Namba za penati ndio inazombeba Ahoua
 
hizo kampeni zinafanyika wapi? Nadhani wewe ndiwe mwenye hofu kuwa Pacome anachukua taji
Kwa jinsi alivyofanya msimu uliopita, wengi tulitegemea Pacome huu ungekuwa msimu bora sana kwake kuanzia kwenye NBC hadi kwenye CAF ila ukweli ni kuwa amekuwa na msimu wa kawaida sana.

Mnalazimisha tu kumpa uMVP ila ukweli inatakiwa tu ajipange kwa msimu ujao.
 
Back
Top Bottom