Unadhani kwa nini wanaongelea idadi ya Man of the Match, wanaibua uMVP wa Yanick Bangala, wanasema hauwezi kuwa MVP bila kuipa timu yako ubingwa? Yaani wanajitengenezea vigezo wanavyotaka wao ila vigezo vingine ambavyo wanaona havimfevi Pacome mbele ya Janshalewa hawataki kuvitumia.
Kiukweli ni kwamba TFF wakiwa fair, Simba inastahili at least tuzo zifuatazo:
Kocha Bora - Fadlu
Mchezaji bora MVP - Janshalewa
Kiungo Bora - Ngoma
Beki Bora - Kapombe
Mfungaji bora (huku tukisubiri mechi mbili za mwisho) - Janshalewa