Kampeni zimeanza za kulazimisha MVP kwa Pacome Zouzoua

Kampeni zimeanza za kulazimisha MVP kwa Pacome Zouzoua

Pacôme msimu huu amechukua tuzo za mchezaji bora wa mechi mara 7, hakuna anayefikia hiyo idadi, akiwa MVP siyo jambo la kushangaza
 
Kwa jinsi alivyofanya msimu uliopita, wengi tulitegemea Pacome huu ungekuwa msimu bora sana kwake kuanzia kwenye NBC hadi kwenye CAF ila ukweli ni kuwa amekuwa na msimu wa kawaida sana.

Mnalazimisha tu kumpa uMVP ila ukweli inatakiwa tu ajipange kwa msimu ujao.
Tupo busy na ubingwa nyie pambaneni na kiatu na MVP
 
Pacome ni mchezaji mzuri and we respect that lakini numbers zipo against yeye.

Ahoua licha ya kutokuwa na manjonjo mengi ila bado kwenye tukio la mwisho amekuwa bora.

Ahoua anastahili vyote. MVP na top score
Kutoka kutafta ubingwa wa shirikisho hadi MVP aisee hii zaidi ya CHAUMMA
 
Kumbe kua MVP ni kampeni na sio takwimu za mechi mwisho w msimu?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kumbe kua MVP ni kampeni na sio takwimu za mechi mwisho w msimu?
KAZI ni kipimo cha utu
hizo kampeni zinafanyika wapi? Nadhani wewe ndiwe mwenye hofu kuwa Pacome anachukua taji

hivi huyo janshalewa ukitoa hayo mapenati kuna mpira gani anaocheza huyo jamaa

Ahoua atachukua kutoka na kuwa top scorer na mchango wake Simba kufika final ya cafcc

Pacome ni mchezaji mzuri and we respect that lakini numbers zipo against yeye.

Ahoua licha ya kutokuwa na manjonjo mengi ila bado kwenye tukio la mwisho amekuwa bora.

Ahoua anastahili vyote. MVP na top score

Hofu inadhoofisha kuliko ugonjwa wenyewe. Nashauri Mbumbumbu muwawahi wanasaikolojia. Wakati Yanga anapambania uhuru wa vyomba vinavyoendesha soka la Tanzania bila kuingiliwa na siasa za TZ nyie ndio kwanza mmekua mkififisha juhudi.

Amkeni mtakuja kushtuka kumekuchwa

MVP ni Ahoua huyo mwingine aendelee kupaka Zazuu

Mmeshaanza. Lol

Wakishajua kombe hawachukui,wanaanza kuhangaika na vitu vidogo vidogo upande wa pili

Inashangaza sana na kama ni suala la kampeni na wao si wampigie wanayemuona anafaa huko kwao.

Waache ulalamishi.

Pacôme msimu huu amechukua tuzo za mchezaji bora wa mechi mara 7, hakuna anayefikia hiyo idadi, akiwa MVP siyo jambo la kushangaza
Unadhani kwa nini wanaongelea idadi ya Man of the Match, wanaibua uMVP wa Yanick Bangala, wanasema hauwezi kuwa MVP bila kuipa timu yako ubingwa? Yaani wanajitengenezea vigezo wanavyotaka wao ila vigezo vingine ambavyo wanaona havimfevi Pacome mbele ya Janshalewa hawataki kuvitumia.

Kiukweli ni kwamba TFF wakiwa fair, Simba inastahili at least tuzo zifuatazo:
Kocha Bora - Fadlu
Mchezaji bora MVP - Janshalewa
Golikipa Bora - Camara
Kiungo Bora - Ngoma
Beki Bora - Kapombe
Mfungaji bora (huku tukisubiri mechi mbili za mwisho) - Janshalewa
 
Kiukweli ni kwamba TFF wakiwa fair, Simba inastahili at least tuzo zifuatazo:

Kocha Bora - Fadlu

Mchezaji Bora (MVP) - Janshalewa

Golikipa Bora - Camara

Kiungo Bora - Ngoma

Beki Bora - Kapombe

Mfungaji bora (huku tukisubiri mechi mbili za mwisho) - Janshalewa

Ukiacha hilo la mfungaji bora, mechi mbili za mwisho haziwezi kubadili hizo tuzo zingine.
 
Back
Top Bottom