Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Habari wakuu, poleni na kazi.
Napenda kupata majina ya kampuni 5 bora za mabasi hapa nchini kwa ajili ya kushiriki tuzo.
Vigezo ni
1. Ubora wa huduma 2. Mwendo mzuri (50/80) 3. Lugha nzuri kutoka kwa wahudumu na wasaidizi 4. Usafi wa mabasi 5. Maslahi kwa wafanyakazi wa mabasi hayo.
Pia ninahitaji majina matano ya kampuni za kusafirisha mizigo, vigezo ni kama hapo kwenye mabasi ila ongeza na usalama wa mizigo.
Majina yatachukuliwa kesho kwa ajili ya kushindanishwa.
Naomba upendekeze jina na comment hapa chini.mwisho ni kesho. Ninasoma comment