Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Asante kwa mchango wako.Mabasi:
1. SHABIBY
2. TAHMEED
3. ABC
4. NEW FORCE
5. SUPER FEO
MALORI:
1. ASAS (Transfuel)
2. WORLD OIL
3. PRIMEFUEL
4. AM PM
5. MT MERU
Asante mkuu!Tahmeed
Tawakal
Classic
Friends Coach
Asante mkuu!Kampuni Bora ni AKIDA BUS zinazofanya safari za Utete rufiji Hadi mloka
Sawasawa..Mabasi:
1. SHABIBY
2. TAHMEED
3. ABC
4. NEW FORCE
5. SUPER FEO
MALORI:
1. ASAS (Transfuel)
2. WORLD OIL
3. PRIMEFUEL
4. AM PM
5. MT MERU
Nashukuru sana kwa mchango wako! Mchango wako ni wa thamani sana.Nilitamani ungeweka category tofauti tofauti!!
Kampuni za ABNORMAL haziwezi kuwa kundi moja na Kampuni za BY ONE!
Kampuni za mafuta zisiwekwe kundi moja na dry cargo!!
Category ni nyingi sana ila nimependekeza kwa uchache tu..
Habari wakuu, poleni na kazi.
Napenda kupata majina ya kampuni 5 bora za mabasi hapa nchini kwa ajili ya kushiriki tuzo.
Vigezo ni
1. Ubora wa huduma 2. Mwendo mzuri (50/80) 3. Lugha nzuri kutoka kwa wahudumu na wasaidizi 4. Usafi wa mabasi 5. Maslahi kwa wafanyakazi wa mabasi hayo.
Pia ninahitaji majina matano ya kampuni za kusafirisha mizigo, vigezo ni kama hapo kwenye mabasi ila ongeza na usalama wa mizigo.
Majina yatachukuliwa kesho kwa ajili ya kushindanishwa.
Naomba upendekeze jina na comment hapa chini.mwisho ni kesho. Ninasoma comment
kampuni ni nyingi kulingana na njia inayoenda labda nikutajie kwa kandaNashukuru sana kwa mchango wako! Mchango wako ni wa thamani sana.
Category zilizopo ni mbili ila naomba nikuahidi kama kuna mchango kwa category tofauti tofauti nakaribisha michango na mapendekezo.
Nitafurahi sana kupata mawazo yako ili kuboresha huduma ya usafirishaji na kuwapa moyo watoa huduma.
Asante na karibu kwa mchango wako.