Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo BULK wapo sehemu gan ?Binafsi Twyford ni Bora kuiko Goodwill.
Mafundi wanadai Goodwill hazilingani--unahitaji fundi mzuri sana
Pia choice ya rangi na size ni chache.
Kuna kampuni ya nchi jirani inaitwa SAJ tiles---wana quality bomba sana kama ya Spanish---kwa bei ya chini kidogo--ukienda BULK utajionea.
Pamoja na tiles za India--kwa bei nafuu unapata tiles za sebulenii nzuri tu--hizi twyfor ni chumbani na bafuni.
Hiyo ndio dawa kwa wale wenye bajeti finyu. Unaweka tiles za gharama sebuleni, halafu za bei nafuuu chumbani. Kwani hizo za bei nafuu si hazitoi vumbi?Binafsi Twyford ni Bora kuiko Goodwill.
Mafundi wanadai Goodwill hazilingani--unahitaji fundi mzuri sana
Pia choice ya rangi na size ni chache.
Kuna kampuni ya nchi jirani inaitwa SAJ tiles---wana quality bomba sana kama ya Spanish---kwa bei ya chini kidogo--ukienda BULK utajionea.
Pamoja na tiles za India--kwa bei nafuu unapata tiles za sebulenii nzuri tu--hizi twyfor ni chumbani na bafuni.
Maduka yao yapo sehemu ganiFact mkuu....kama una vihela vyako chukua kampuni za Spain au Turkey au Italy..au hata India
China tupa kule
Kwa hapa Moshi, Bei zimesimamaje kwa anayefahamu? Nahitaji tiles nzuri kwa kweli km Kuna wakala wa hizo nzuri naomba pia kufahamu wakuuNmenunua tiles kadhaa, twyford ni imara sana. Tiles zake sio nyepesi, ni nzito na haizipauki.
Tiles chukua hizo Twyford, tofauti ya bei zao ni ndogo, ni 1,000 au 1,500 kati ya Twyford na hizo Goodwill n.k
Umeshapata? kama bado ni PMKwa hapa Moshi, Bei zimesimamaje kwa anayefahamu? Nahitaji tiles nzuri kwa kweli km Kuna wakala wa hizo nzuri naomba pia kufahamu wakuu
Bado mkuu, na za Spain ndiyo tiles zipi? Maana nasikia Kuna Spain na TaiwanUmeshapata? kama bado ni PM
Za spain zinatoka nje ya nchi imported (hispania)Bado mkuu, na za Spain ndiyo tiles zipi? Maana nasikia Kuna Spain na Taiwan
Ooh sawa, nilidhania Hadi hizo Twyford ni za nje huko.Za spain zinatoka nje ya nchi imported (hispania)
Hizi Twyford na wenzake ni za hapa hapa
Yeah lakn twyford wanamaua mengi sample za Spanish designKwangu Good one first, Twyford second and goodwill last