Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

Binafsi Twyford ni Bora kuiko Goodwill.
Mafundi wanadai Goodwill hazilingani--unahitaji fundi mzuri sana
Pia choice ya rangi na size ni chache.
Kuna kampuni ya nchi jirani inaitwa SAJ tiles---wana quality bomba sana kama ya Spanish---kwa bei ya chini kidogo--ukienda BULK utajionea.
Pamoja na tiles za India--kwa bei nafuu unapata tiles za sebulenii nzuri tu--hizi twyfor ni chumbani na bafuni.
Mkuu hapo BULK wapo sehemu gan ?
 
Hiyo ndio dawa kwa wale wenye bajeti finyu. Unaweka tiles za gharama sebuleni, halafu za bei nafuuu chumbani. Kwani hizo za bei nafuu si hazitoi vumbi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bulk Distributors Ltd - Arusha HQ
Bulk Centre,
Bulk Road (Opp. CMC),
P.O. Box 3091,
Arusha, Tanzania.
Mob : + 255 786 318 318
Tel : + 255 (27) 250 7625
Email: info@bulktz.com

DAR OFFICE​

Bulk Distributors Ltd – Dar-es-salaam Branch
66 NKURUMAH SIKUKUU ST,
GEREZANI-KARIAKOO,
Dar-es-salaam, Tanzania.
Mob : + 255 677318700. or + 255 677318118
Email: dar@bulktz.com
 
Nmenunua tiles kadhaa, twyford ni imara sana. Tiles zake sio nyepesi, ni nzito na haizipauki.

Tiles chukua hizo Twyford, tofauti ya bei zao ni ndogo, ni 1,000 au 1,500 kati ya Twyford na hizo Goodwill n.k
 
Kwa hapa Moshi, Bei zimesimamaje kwa anayefahamu? Nahitaji tiles nzuri kwa kweli km Kuna wakala wa hizo nzuri naomba pia kufahamu wakuu
 
Naweka alama, nitarudi..

Nashauri picha ziwe nyingi kuliko maelezo
 
Kama unaitaji tiles bora size zote nichek
0623152344
Tupo chalinze na mlandizi na tunasafirisha mikoani..
IMG_20220112_170026.jpg
View attachment 2078347View attachment 2078346
 
Nieambiwa kuna tiles za China ni nzuri, zinafahamika kwa wauzaji kama CHINA GRADE ONE TILES (sina uhakika na jina hili kama ndilo rasmi), kwa anayefahmu zinapouzwa au ABC zake tafadhali naomba anijuze.
 
Back
Top Bottom