GONZZ EPACLEM
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 312
- 240
Kwahiyo ulitaka uone imeandikwa Mayanga Construction inamilikiwa na Rais John Pombe Magufuli ndipo ungeanza kutilia shaka ikiwa mchakato ulikuwa wa haki?!Binafsi sasa nimeanza kuwaelewa watanzania na unafiki watu haswaaa?
Mtanzania mwenzenu kapewa tenda kubwa, kujengewa uwezo wa kucompete na makampuni makubwa duniani, kwanini tunahoji kuaminiwa kwake kufanya kaz?
Hawezi na hatofanya!!! Ule ni mkuki wa kumoyo!!!Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Nenda BRELA utapata majibu yako.Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Ha ha ha!Kuna wimbo moja wa zamani unaitwa Mayanga. Mmoja wa ubeti unaimba hivi" Mayanga uliponitoa kwetu sumbawanga ulisema wewe huku mjini ni Meneja kumbe wewe si Meneja, Ona Sasa nateseka Mayanga, Narudi kwetu Sumbawanga" Naupenda Sana wimbo huu.
Nenda BRELA utapata majibu yako.
Kwa nini kuandikia mate?
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?
Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?
Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?
Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.
Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Nenda bodi ya wakandarasi utajibiwa bwashee!Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?