Binafsi sasa nimeanza kuwaelewa watanzania na unafiki watu haswaaa?
Mtanzania mwenzenu kapewa tenda kubwa, kujengewa uwezo wa kucompete na makampuni makubwa duniani, kwanini tunahoji kuaminiwa kwake kufanya kaz?
Ivi mlitaka apewe nani ili hali turufu imeangukia kwake?
Local contractors wasiaminiwe?
Watakuwa lini wao?
Mlitaka apewe mchina na kuitangaza nchi yao?
Ulitaka iweje wew?
Acheni nongwa na kujustify mambo kiivyo.
Tunataka ifike mahali nchi iwe na contractors wakubwa ndani ya Tanzania
Wachina ifike mahali tuwakatae kwa kutymia local contractors wetu ikiwemo na usalama wa nchi yetu?
Chinese contractors are not coming only for constructions, but also for inteligency issues
Mwisho
Tuache nongwa na maneno ya kutaftia kura kwa wanasiasa majukwaani, kila mbinu si silaha kwa mwanasiasa kutafta ikulu, Lissu kafanikiwa kuaminisha watu paspo wao kufikiri nje ya box na badala yake kuuamnisha umma ayasemayo dhidi ya mpinzani wake
Mwisho, Lissu hata kama mala paa katinga ikulu nchi hii tutamkumbka Jpm.