Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Tatizo liko wap jmn?
Ivi ndio mazoea yetu kwa contractor wa nje? Wazungu? Hatuaminiani kisa nin? Nongwa ya nn?
 
Binafsi sasa nimeanza kuwaelewa watanzania na unafiki watu haswaaa?
Mtanzania mwenzenu kapewa tenda kubwa, kujengewa uwezo wa kucompete na makampuni makubwa duniani, kwanini tunahoji kuaminiwa kwake kufanya kaz?
Ivi mlitaka apewe nani ili hali turufu imeangukia kwake?
Local contractors wasiaminiwe?
Watakuwa lini wao?
Mlitaka apewe mchina na kuitangaza nchi yao?
Ulitaka iweje wew?
Acheni nongwa na kujustify mambo kiivyo.

Tunataka ifike mahali nchi iwe na contractors wakubwa ndani ya Tanzania
Wachina ifike mahali tuwakatae kwa kutymia local contractors wetu ikiwemo na usalama wa nchi yetu?
Chinese contractors are not coming only for constructions, but also for inteligency issues

Mwisho
Tuache nongwa na maneno ya kutaftia kura kwa wanasiasa majukwaani, kila mbinu si silaha kwa mwanasiasa kutafta ikulu, Lissu kafanikiwa kuaminisha watu paspo wao kufikiri nje ya box na badala yake kuuamnisha umma ayasemayo dhidi ya mpinzani wake
Mwisho, Lissu hata kama mala paa katinga ikulu nchi hii tutamkumbka Jpm.
 
Binafsi sasa nimeanza kuwaelewa watanzania na unafiki watu haswaaa?
Mtanzania mwenzenu kapewa tenda kubwa, kujengewa uwezo wa kucompete na makampuni makubwa duniani, kwanini tunahoji kuaminiwa kwake kufanya kaz?
Kwahiyo ulitaka uone imeandikwa Mayanga Construction inamilikiwa na Rais John Pombe Magufuli ndipo ungeanza kutilia shaka ikiwa mchakato ulikuwa wa haki?!

Na kwa uelewa wako ulitarajia Waziri wa Ujenzi aanzishe kampuni ya ujenzi halafu aandike jina lake?!

Kusoma hujui, hata picha ukutani huzioni?! Tenda inatangazwa halafu inaweka sharti kwamba Contractor LAZIMA atoke Kanda ya Ziwa... bado tu unajifanya huoni mchezo uliochezeka?!

Yaani unashindwa kuona hapo kwamba tenda iliandaliwa exclusively kwa ajili ya Mayanja Construction na hili kumuondolea competition ndipo ikawekwa condition ya Contractor LAZIMA awe wa Kanda ya Ziwa!!
 
IMG_6839.JPG
 
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?

Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?

Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?

Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.

Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
 
Hawezi na hatofanya!!! Ule ni mkuki wa kumoyo!!!

Tender ya kujenga Chato International Airport tu ni magumashi matupu ndo amtaje mwenye mayanga???😂😂😂😂
 
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?

Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?

Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?

Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.

Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Nenda BRELA utapata majibu yako.
Kwa nini kuandikia mate?
 
Bora umelisema mkuu, MODS sijui huwa wananini Siku hizi wanaweza kwenda kuuficha Uzi kwenye unaohusu visima vya maji ukapotea.
Lakini hivyo sio kumsaidia, kumsaidia ni kuuacha usomwe na pengine wakatoa majibu. Lakini kama wanataka Magufuli achakazwe kwa kura kupitia tuhuma hizi basis sawa
 
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?

Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?

Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?

Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.

Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!

Yawezekana ni kampuni ya ccm, na fedha zinazotolewa zinarudi kwa mlango wa nyuma kufanya kazi za chama.
 
Jee ni kampuni yako? Au una hisa kiasi gani? Kwa nini inapewa miradi mikubwa na kulipwa kisha haikamilishi kazi kama kule Musoma na Geita na haichukuliwi hatua za kisheria?

Kwa nini inapewa miradi ambayo hata uwezo wa kuifanya unatia wasiwasi kama itafanya kwa kiwango kwa mfano Chato Airport?

Na mbona yenyewe inapata miradi ambayo hata tenda zake hazitangazwi?

Kama mgombea urais ambaye unajinasibu kuwa ni muadilifu ni vema ujibu hii issue ya Mayanga Construction maana inakuchafua/inaonyesha kuwa hufai kabisa.

Mbona mengi unajibu haraka au wapambe wako wakiongozwa na Msigwa au Polepole wanajibu, inakuwaje hili linawashinda? Au ni fupa gumu kulijibu?
Natumaini watakujibia hili ili tukuelewe!
Nenda bodi ya wakandarasi utajibiwa bwashee!
 
Back
Top Bottom