Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Kwan kuna kampuni inamana hazifai kupewa tenda kubwa? Nilitaman nijue kama haikidhi viwango basi Ila kama inakidhi haina shida sisi tu nataka maendeleo nahis mtoa mada anakampuni na haifanyi vizur mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia utajua tu kwa nini imeulizwa hii na sio ile
Acha unafiki kumbe unajua umeuliza kwa nini ,kama una majibu unataka sisi tukusaidie kwanini usiseme tu ulilotaka kulisema?ndio maana wenye akili wamekujibu walijua uantaka kujua wakati unajua na shida yako ulitaka akina cha umbeya wenzako waje hapa,buure kabsa
 
Kampuni ya fisadi wa Ikulu ambayo alianza kuipa mikataba ya mabilioni tangu akiwa Waziri wa Ujenzi na anaendelea kufanya hivyo akiwa magogoni. Bunge DHAIFU kimyaaaa!


Mkataba wa Mayanga construction kujenga Chato International Airpot ni wa siri sana. Mayanga haijawahi kujenga uwanja wa ndege b4.
 
Inaonekana kuwa na mkanganyiko (frustrations) kwenye mawazo yako kiasi kwamba unachanganya masomo. Na huyo Mayanga ndiye Nani, na ana kashfa gani? Ukitaka kusikika, ongea kwa takwimu na thibitisha ukisemacho. Acha kuwasilisha hisia zako badala ya core evidence.
Mayanga ni kampuni ya ujenzi magufuli ni mwanahisa 60%. Ilipewa tender ya ujenzi wa Barbara huko musoma ukakomba hela yote na Barbara haikuisha ikatelekezwa. Wamepewa tender ya ujenzi wa chato airport bila tender competition yeyote. Mali ya jiwe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Zabuni hawa wasingeshinda kwani hawana uzoefu na kazi zao za kujenga madaraja na barabara ni za hovyo sana hivyo utoaji wa zabuni hii ulifanywa na nduli mwenyewe chini ya meza.

Mayanga ni kampuni ya ujenzi magufuli ni mwanahisa 60%. Ilipewa tender ya ujenzi wa Barbara huko musoma ukakomba hela yote na Barbara haikuisha ikatelekezwa. Wamepewa tender ya ujenzi wa chato airport bila tender competition yeyote. Mali ya jiwe
 
Hivi mbona watawala hawajifunzi? Hivi mbona wanatuchukulia poa sana?

Mr.Clean Benjamini Mkapa, alifanya yake na Anben yake, akajimilikisha na mgodi wa makaa ya mawe ya Kiwira...sijui alikuwa anawaza nini kichwani mwake wakati anafanya hayo, labda ni ile imani yake kwamba Watanzania ni malofa.

Haya, akaja JK na mambo yake ya Home Shopping Center na Lugumi...pesa na raha za muda mfupi hadi sasa Lugumi nyumba zinauzwa, na hadi wametuletea Dr.Louis Shika.

Sasa, amekuja mkali wa ku
fight corruptions(sic)...corruptions is a cancer... mapema tu kashfa nzito zinarindima, mara Mayanga mara Madege mabovu mara Uwanja wa Ndege kijijini...tunaelekea wapi? Hivi anatuchukuliaje? Kwanini watawala hawajifunzi? Kwanini hawaogopi kufanya haya madudu?
Watawala wanafanya haya yote sababu wanaju kwa asilimia mia moja sisi ni MALOFA TUU
Hivyo tatizo si wao tatizo ni sisi tulioridhia ULOFA HUU
 
Serikali inataka kila mkoa uwe na uwanja wa ndege. Geita kulikuwa hakuna uwanja, je kujengewa uwanja ni ufisadi? Je watu wa geita hawastahili kupata uwanja mzuri wa ndege kwa vile tu rais anatoka geita? Hiyo si sawa.
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽

Kwa sababu Wanajuwa katba iliyokuwepo inawalinda inawaruhusu wafanye watakavyo wauwe,wanyan'ganye ,wabake democrasia,wavunje katiba hakuna chombo chochote chenye mamlaka yakuwahoji wakiwa madarakani na hata wanapoondoka madarakani yaani katiba imewapa nguvu ya umungu na chuma tulonacho ndio kabisa hakitaki kusikia chochote kuhusu katiba mpya.
 
Haya maovu yote yamefichwa chini ya carpet! Halafu utawasikia waliojitoa ufahamu mchapa kazi kweli huyo pale ujenzi kafanya mengi sana, kumbe ni MADUDU tu and yet Kikwete na Mkapa wakamsukumizia Ikulu!

Mayanga ni kampuni ya ujenzi magufuli ni mwanahisa 60%. Ilipewa tender ya ujenzi wa Barbara huko musoma ukakomba hela yote na Barbara haikuisha ikatelekezwa. Wamepewa tender ya ujenzi wa chato airport bila tender competition yeyote. Mali ya jiwe
 
Mayanga International Construction Corps ni kampuni nzuri ya wazawa wa hapahapa,mungu atupe nini tena?
 
Back
Top Bottom