Hizo hisa unanua na nini kama sio pesa? Hisa sio hisani ni biashara na biashara yoyote ina kodi.. Sijui unaelewa?Hisa ina husika vipi hapa? Excemption ya Tax inatolewa ukianza biashara na sio ukinunua hisa, kama ukinunua Hisa asilimia 27 unaondolewa kodi weka hapa ushahidi, si kila mtu humu ni mtoto mudanganye danganye tu.
Huwa wapuuzi kama wewe siwajibuHuu ni uongo na haina uhusiano kabisa na bandiko hili, pia special relief huombwa na sio kupata kama njugu.
Wizi mtupu hapo wanabadili jina kukwepa kodi
Ukishindwa kutajirika Tanzania basi hakuna nchi nyingine unaweza kutajirikaMIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!
Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji[emoji24]
Jina la Tigo lilikuwepo kabla ya wewe kuwaza na kuita matusi (ngono).Wajiite vovote ila Tigo ni matusi.
wangefanya tu iwe HONORATAKampuni mpya ya Honora Tanzania imetoa taarifa kwa wadau wake katika biashara kubadili jina kutoka MIC Tanzania kwenda Honora Tanzania. Pamoja na kubadili jina la kampuni, Honora wataendelea kutumia 'Brand name' ya Tigo na huduma zote zitabaki kama zilivyo.
Honora Holdings Limited imesajiliwa Mauritius.
View attachment 2725843
Wewe ndio mpumbavu na huna ujualo, wewe ni Kima tu. Change ya ownership haina uhusiano na newly Formed Company. Hata hivyo kampuni ikiuzwa inabaki na TIN ileile, wateja walewale, wadaiwa walewale nk.Huwa wapuuzi kama wewe siwajibu
Hakuna aliekataa sio biashara, tunachokataa ni kwamba wakinunua hisa hawalipi kodi, kuanzia mwanzo wa uzi mnaambiwa leteni ushahidi hadi sasa hivi hakuna anaeleta ushahidi.Hizo hisa unanua na nini kama sio pesa? Hisa sio hisani ni biashara na biashara yoyote ina kodi.. Sijui unaelewa?
Does it make any difference?TOFAUTISHA kufa na kuuza, MIC hawajafile bankruptcy bali wameuza kampuni.
Tuko JF members karibu au zaidi ya 1,000,000 humu.Kwenye hii thread hakuna hata mmoja aliyejibu kwa hakika unakwepa vipi kodi kwa kuuza kampuni au kubadili jina la kampuni.
Nitapata muda next time kuongea na consultant anayetufanyia mahesabu anieleweshe kuhusu hili, hapa JF zimejaa hisia kuliko fact.
Mbona sasa unachanganya mada? Hebu tutulie kwenye msingi wa madaHakuna aliekataa sio biashara, tunachokataa ni kwamba wakinunua hisa hawalipi kodi, kuanzia mwanzo wa uzi mnaambiwa leteni ushahidi hadi sasa hivi hakuna anaeleta ushahidi.
Leo umetumia Tigopesa? Hujakatwa kodi Ulivyo fanya Muamala? Umenunua Vocha? Hujatumiwa msg ya kukaa Vat? Msamaha upo wapi?
Mie ni darasa la Saba naomba na Mimi unieleweshe kubadili jina la kampuni unawezaje kukwepa kodi?Phd yako umeipataje kama mimi form six tu nalijua hili?
Mimi Sio mwanasheria ila kwenye biashara tunagusa gusa hizi mambo, kampuni inakua treated kama mtu kisheria.Does it make any difference?
Km huyu ana PhD basi hii nchi ma professor wengi ni vilazaPhd yako umeipataje kama mimi form six tu nalijua hili?
Thank you for sharing..Mimi Sio mwanasheria ila kwenye biashara tunagusa gusa hizi mambo, kampuni inakua treated kama mtu kisheria.
kama kampuni ina madeni na imefilisika basi itaendelea kudaiwa ile kampuni iliofilisika na sio mmiliki wa kampuni.
Ila kampuni ikuzwa Deni pia Lina transfer toka mmiliki wa Zamani kwenda mmiliki mpya.
Our commercial brand Tigo, which derives from the Spanish word "contigo" which means "with you", has been active in Latin America from the beginning, supporting their digital transformation.Tigo cha Wote
Misemo Tigo sijui nani anawatungia
Cha Asubuhi
Our commercial brand Tigo, which derives from the Spanish word "contigo" which means "with you", has been active in Latin America from the beginning, supporting their digital transformation.Kirefu cha tigo tafadhari
MILICOM NI KAMPUNI YA KIMATAIFA ILIUZA KAMPUNI ZAKE ZA AFRICA, ZINAZOJIENDESHA KWA BRAND YA TIGO KWENDA KWA KAMPUNI YA AXIAN GROUP, NA HAPA TANZANIA NDIO WAKAAMUA KUIITA HONORA TANZANIAInakuwaje hasara wakati kila kitu chao kiko monitored na TCRA?
MIC Tz ipo muda mrefu sana zaidi ya miaka 20
Hapo wamebadilisha jina la biashara ila shareholders ni wale wale