Lakini Kwa hapo nilivyosoma taarifa yao naona si mwekezaji mpya ni Jina Tu limebadilika ,tin inabaki ileile,faili Lao brela inabaki hilohilo sababu kubadili Jina hakubadili incorporation no ,sasa Kwa hapo tax exemption inakuajeMwekezaji mpya hupewa likizo ya Kodi Kwa miaka mitano.Hivyo Kila ukibadilisha jina unapata tax exemption ya miaka hiyo mitano.
We jamaa mpotoshaji mno.MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!
Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji[emoji24]
Aliyekwambia ukibadilisha jina la biashara wakwepa kodi nani?Wizi mtupu hapo wanabadili jina kukwepa kodi
Afu huyo kamaliza chuo kabisaUnakwepaje kodi? Hebu tupe elimu.
Cayman, Mauritius, New Jersey Islands, Dubai wanafaidi kampuni nyingi sababu ya kodi ndogo na usiriIn a positive side of this ni kuwa Mauritius waliamua kupunguza viwango vya kodi ambapo makampuni makubwa yanakimbilia kuweka makao makuu ya bishara zao huko kwa security hii na kutozinguliwa na mauzauza kama ya TRA yetu.
Mimi nikipata nafasi ya kumshauri Rais nitamueleza manufaa ya kushusha viwango vya kodi ili siyo tu ilipike bali kushawishi wawekezaji wakubwa na kuongeza ajira.
BOT pia ni kikwazo kwa sekta ya fedha nchini. Inatumika sana na watawala kudhibiti watu wanaosakamwa na serikali
Home Shopping walitangaza kufilisika na kuomba wadai wote waende kumalizana naoHOME SHOPPING CENTRE walishamili sana enzi za VASCO DAGAMA; alipoingia JIWE kama Rais kumbadili Kikwete nao wakabadilika na kuitwa jina jipya la GSM!!!!
Inakuwaje hasara wakati kila kitu chao kiko monitored na TCRA?Ni kwamba wawekezaji hupewa miaka 5 ya operation bila kulipa kodi then baada ya huo mda ndonhuanza kulipa kodi. Jamaa wanafanya 3 ama 4 years wanauza kwa madai wamepata hasara. Atakayekuja anaaza tena miaka 5 bure kudadeki
Watanzania ni wajinga na waongoHadi sasa hili swali halijajibiwa...wanakwepaje kodi?
Sasa mweleze rais wa mawe kuwa tushushe kodi na kuboresha ulinzi wa mifumo ya fedha kama atqacha kkukunanga.Cayman, Mauritius, New Jersey Islands, Dubai wanafaidi kampuni nyingi sababu ya kodi ndogo na usiri
Kubadilisha jina sio uwekezaji upya, soma hiyo barua uieleweMwekezaji mpya hupewa likizo ya Kodi Kwa miaka mitano.Hivyo Kila ukibadilisha jina unapata tax exemption ya miaka hiyo mitano.
Kuna wapumbavu humu wala hawastahili hata kujibibiwa.Unaweza kuwa na PhD ikawa sio ya hiyo fani na usijue Mkuu au nakosea ukiwa na PhD ya vitunguu lazima ujue mambo ya upasuaji kwa kuwa una PhD tuu..
King makerKwa hisani ya RA
Nikusaidieje sasa..!We jamaa mpotoshaji mno.
Usipende potosha,haina faida kwako bali unawajaza ujinga wajingaNikusaidieje sasa..!
Hebu twende taratibu nimepotosha niniWewe ni mpotoshaji
Home shopping center siyo GSM ingawaje wamiliki ni wale wale.HOME SHOPPING CENTRE walishamili sana enzi za VASCO DAGAMA; alipoingia JIWE kama Rais kumbadili Kikwete nao wakabadilika na kuitwa jina jipya la GSM!!!!