Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Japo nilikuwa simkubali wala kumpenda JPM ila kwenye hili nimemkumbuka Bwana Yule.MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!
Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji[emoji24]