baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
GSM = GharibHOME SHOPPING CENTRE walishamiri sana enzi za VASCO DAGAMA; alipoingia JIWE kama Rais kumbadili Kikwete nao wakabadilika na kuitwa jina jipya la GSM!!!!
Home shopping = said
Ni ndugu ila sio kampuni moja, GSM ilikuwepo Zamani tu
Nitakupa mfano wa Biashara ya GSM ni battery za Tiger head, hizi battery zipo toka Nasoma msingi,
Said wa Home shopping alipata majanga akamwagiwa Tindikali hii ili tokea 2013 akashindwa kufocus na biashara akauza kila kitu na kwenda kutibiwa muda mrefu.
Alirudi kipindi cha Magu na kufungua kampuni kibao, in short huyu Said ni mjasiriamali Genious sana, Akileta kitu chake hata kkoo ujue masaa tu kinaishia, ni mtu mwenye Experience na choice nzuri ya Biashara, alianza kidogo kidogo sasa hivi Ana makampuni Makubwa mengi tu, si mtu wa kujionesha.