Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Soma hapaWataalamu wetu wa masuala ya kodi, uchumi na uwekezaje mnatuyumbisha kwenye huu uzi. Mpaka sasa nimewasoma wote lakini bado sijajua ni nani yupo sahihi.
Kwanini msilete facts mnabisha na kuchambana tu? Kuna hizo sheria na articles zipo kwanini msituwekee basi tusome hata wenyewe?
Mbona sisi kwenye masuala tuliyobobea huwa tunatoa ufafanuzi usiowachanganya wengine washindwe kujua yupi yupo sawa??
Although there isn't a universally agreed definition of what a tax haven is, a tax haven generally refers to a country or jurisdiction that enables multinational corporations and individuals to escape the rule of law in the countries where they operate and live, and to pay less tax than they should in those countries.