Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!

Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji[emoji24]
Kwa hiyo capital gain tax ni sifuri?
Kwani tigo haipo DSE?
 
Wataalamu wetu wa masuala ya kodi, uchumi na uwekezaje mnatuyumbisha kwenye huu uzi. Mpaka sasa nimewasoma wote lakini bado sijajua ni nani yupo sahihi.

Kwanini msilete facts mnabisha na kuchambana tu? Kuna hizo sheria na articles zipo kwanini msituwekee basi tusome hata wenyewe?

Mbona sisi kwenye masuala tuliyobobea huwa tunatoa ufafanuzi usiowachanganya wengine washindwe kujua yupi yupo sawa??
Mkuu kuna vitu DUNIANI vinaendelea ukiambiwa wewe utashindwa kuamini na utabisha

Yes kwa mfano nikikuambia nitajie KAMPUNI zinazongiza mkwanja mrefu DUNIANI
najua moja kwa moja utaenda
APPLE
MICROSOFT'S
SAUDI RAMCO
ALPHABET
AMAZON
Tesla
Meta. N.k

Ngoja nikupe habari

THE GIANT COMPANY ni mbili tu DUNIANI
kuna wakuitwa BLACK ROCK na THE VANGUARD
hao jamaa wana HISA kwa kila kampuni kubwa inayoingiza mkwanja mrefu DUNIANI hasa upande wa TECHNOROGY
mfano kwa APPLE blackrock ndo anashika namba mbili kwa kuwa na HISA nyingi zaidi

Pengine hata kwenye DPWORD wametia ela
Mana hao jamaa ndo wazee wa kutake Risk hatari zaidi duniani

Itachukua muda mrefu sana kuuangusha UFALME WA MMAREKANI
Ila itabidi mkubari tu WAYAHUDI ndo baba wa BIASHARA that's why ADOLF alikuwa na wivu mpk akataka kuwaangamiza wote

Ndio mana leo hii URUSI na CHINA inamuumiza sana kichwa MMAREKANI akifanya chochote kuwatingisha ANAJIBACKFIRE mwenyewe
ndio maana TRUMP mfanya BIASHARA anajua madhara ya URUSI na CHINA kiuchumi that's why alienda nao fea alitumia tu ule usemi IF YOUCAN'T BEAT EM JOIN EM
Lakini pia trump pamoja na UBABE wake wote wa kutaka KEKI ya TAIFA alambe kila MMAREKANI ila MKATABA wa ISRAELI na MAREKANI anaueshimu
7bu anajua katika list za
MOST LAGEST COMPANY
MOST PROFITABLE COMPANY
MOST RICHESTY COMPANY
MOST RICHEST INVESTORS
wapo hao jamaa ndo wanaongoza yaani ipo hvyo

Ila nakusanua kingine hiyo ipo hivi
Ila ukiacha BIASHARA ya OIL na MADINI basi BIASHARA ya SILAHA ndo most PROFITABLE bussnes underworld kwa marekani na anafanya TRADE ya SILAHA kwa na pesa KIDUCHU anachukua mafuta

Sasa MRUSI anamfatiliafatilia sana kila chaka lake kumtilia kitumbua mchanga urusi anatia TIMU kuvuruga mipango yake hovu
MAREKANI anakeleka sana kuharibiwa mingo zake na URUSI
Ndo mana VITA UKRAINE marekani aliona hapa ndo pa kumlambisha mchanga MRUSI na Urusi anakaza kweli kweli 7bu anajua VITA ya UKRAINE inampa faida nyingi licha ya uungwaji mkono na mataifa hasimu au yanayonyonywa ba marekani ila kuna mambo mengine kedekede anafaidika

Yaan mkuu hata wewe ungekuwa mmarekani huwezi kukukubari VITA YA UKRAINE iishe kizembe hasara hatazibeba nani
Yaani hiyo piga nikupige mpk kieleweke
Ingawa machaka mengi ya Marekani yamepwaya huko anakoiba RASILIMALI ila vita itapigwa UKRAINE mpk kieleweke tu
 
Mkuu nashukuru nimesoma comment yako iko vizuri japo naona sijui umekosea ku reply kwangu au labda nilichouliza ujakielewa. Anyway asante.
 
Nimekuelewa na nimekujibu wewe Chaliifrancisco KICUBA ujue dunia yako inavyokwenda na sakata WALAKA wa TEC linavyowafanya MALIKIA WA NZI wa KIJANI avimbe kwa hasira akaishia kulopoka HAKUNA HAKUNA HAKUNA
Akhasnate sana ndugu mtanzania mwenzangu.
kwa leo tumeishia hapo
 
Attachments

  • FB_IMG_1692657367628.jpg
    FB_IMG_1692657367628.jpg
    39.6 KB · Views: 1
Mkitaja majina ya kampuni mnawachanganya wasiojuwa lolote.

Ni hivi Tigo na Zantel ni Mali ya Rostam Aziz, hiyo ni michezo ya kawaida kwa magalacha kama hao.

Mwamedi, Muddy, Mo ni mtu mmoja yuleyule.
 
Unakwepaje kodi? Hebu tupe elimu.
Utamdaije marehemu alipe kodi wakati ameshakufa, hafanyi biashara tena?

Ukiwa mjanja, ukiona yu mahututi anakaribia kufa, anza kumkumbusha akulipe chako. Akifa, ndiyo kwa heri hivyo..

Kwenye biashara za makampuni vs ulipaji kodi ya serikali, huu ndiyo ujanja wanaoutumia wamiliki, kucheza na vitabu vya mahesabu, kutengeneza hasara na kisha wanatangaza kufilisika..

Lakini ukweli unakuwa, wanaficha mtaji na faida isisome kwenye vitabu na baadae wanatumia fedha hiyo kuanzisha kampuni mpya na kujifanya wameanza upya tena!!

Kwa binadamu na kwenye haya maisha ya kawaida, mrithi anaweza kuchukua madeni ya marehemu. Katika biashara hiyo haipo, ikifa, imekufa hakuna pesa inazalishwa hapo. Utadai nini..?
 
Kwenye hii thread hakuna hata mmoja aliyejibu kwa hakika unakwepa vipi kodi kwa kuuza kampuni au kubadili jina la kampuni.

Nitapata muda next time kuongea na consultant anayetufanyia mahesabu anieleweshe kuhusu hili, hapa JF zimejaa hisia kuliko fact.
 
The point we are making is that Kikwete has always been a facilitator/broker of their businesses. Hata alipomwagiwa acid Vasco Dagama flew at our expense kwenda kumuona hospitali kwa Madiba!
The business relationship between hawa wamanga na Kikwete during his tenure as president was tantamount to STATE CAPTURE! Kama katiba iliyopendekezwa ingepitishwa Mkwere angesamishwa kizimbani to answer grand corruption charges.
Sisi Watanzania tunapenda sana kuzusha zusha mambo na tetesi zisizo na mbele wala nyuma, Nafahamu hizo tetesi Kwamba ni mali za Kikwete ila kuna possibility kubwa ni Uongo.

Hawa jamaa ni watu Wa Tanga na ni Matajiri wakubwa toka awamu ya Mkapa, kuna Ndugu yangu alikua na Malori akiwatolea mizigo huyo Saidi alikua anafanya Kazi 24H hadi Lori likisafirisha mzigo analisindikiza, jamaa ni fighter kweli, yeye ndio alitafuta Mali mpaka unaiona Familia yake Ilivyo Leo.

Na nchi hii ukiwa na hela wanasiasa lazima waje utake usitake, hakuna Tajiri hata mmoja ambaye hana hizi scandal.
 
Utamdaije marehemu alipe kodi wakati ameshakufa, hafanyi biashara tena?

Ukiwa mjanja, ukiona yu mahututi anakaribia kufa, anza kumkumbusha akulipe chako. Akifa, ndiyo kwa heri hivyo..

Kwenye biashara za makampuni vs ulipaji kodi ya serikali, huu ndiyo ujanja wanaoutumia wamiliki, kucheza na vitabu vya mahesabu, kutengeneza hasara na kisha wanatangaza kufilisika..

Lakini ukweli unakuwa, wanaficha mtaji na faida isisome kwenye vitabu na baadae wanatumia fedha hiyo kuanzisha kampuni mpya na kujifanya wameanza upya tena!!

Kwa binadamu na kwenye haya maisha ya kawaida, mrithi anaweza kuchukua madeni ya marehemu. Katika biashara hiyo haipo, ikifa, imekufa hakuna pesa inazalishwa hapo. Utadai nini..?
TOFAUTISHA kufa na kuuza, MIC hawajafile bankruptcy bali wameuza kampuni.
 
MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!

Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji[emoji24]
Grace period ni loop hole inayotumiwa na wawekezaji
 
Hii mbona ni muda tu, hiyo ni barua kwa business partner wao ndio wamechelewa kuitoa.

Kwa kifupi hii siyo habari.
...Ni namna ya kukwepa Kodi TU. Muda wa Nafuu Kwa Muwekezaji imekwisha. Wanabadilisha jina na kudai ni Muwekezaji Mpya ili Wapate Nafuu nyingine!
Bongo tunaliwa TU !
 
Baada ya kurekebisha hiyo sheria ya Makampuni ya kigeni kukwepa Kodi ili wapate mapato zaidi wao wanaongeza Tozo ya ardhi kwenye kununua Umeme hawa viongozi wetu kazi tunayo hapo wao wanaona sawa tuu...
 
MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!

Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji[emoji24]
Huduma za simu zina hasara?! Ni Tz tu! Ccm wakigaiwa rushwa yao, yote yanawezekana.
 
Back
Top Bottom