Kuna mzee mmoja aliniambia, " mtu akikuita Mswahili pigana kwa nguvu zako zote". Kipingi hicho nilikuwa chalii, leo ndio naelewa.Mswahili pasua bichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mzee mmoja aliniambia, " mtu akikuita Mswahili pigana kwa nguvu zako zote". Kipingi hicho nilikuwa chalii, leo ndio naelewa.Mswahili pasua bichwa
Mkuu kwenye paper work hakuna tatizo, tatizo lipo kwenye kutekeleza mliyoweka kwenye makubaliano. Tarehe ya kutoa fedha hizo kidogo zije mezani, unaanza kusikia udhuru. Ama, awamu ya kwanza mnatoa fresh, baada ya pale wadau wanaingia chaka, wakiona dalili fresh wanaanza kurudi kimya kimya na vitu vya ajabu.Ni kweli wachina wana ushirikiano sana nimefanya na wachina kazi ya wik 3 hvi nimeona hilo lakini pia hata sisi hiyo hofu ya kuzimana ni kweli ipo ndo maana tuna kampuni nying lakin haziend mbele sababu ya mitaji mi nazani mkiunda kampuni kuna haja kuwa makubaliano yaliyopo kwenye memart mnakubaliana nayo hasa upande wa kuweka share sawa.......
Nakuelewa mkuu.Mkuu kwenye paper work hakuna tatizo, tatizo lipo kwenye kutekeleza mliyoweka kwenye makubaliano. Tarehe ya kutoa fedha hizo kidogo zije mezani, unaanza kusikia udhuru. Ama, awamu ya kwanza mnatoa fresh, baada ya pale wadau wanaingia chaka, wakiona dalili fresh wanaanza kurudi kimya kimya na vitu vya ajabu.
ni tatizo sana. mkuu unakuata mmeanzisha kampuni la ujenzi na ww ni fundi bomba lakini unataka kukaa ofisiniChangamoto kubwa ni watu kutopenda kazi kabisa. Tunaweza jadili mpaka mwakani, lakini watu wanataka kuokota dodo tu lakini kuuotesha mwembe hawataki. Hapa ndio shughuli ilipo. Mnaungana na mdau, kwenda site hataki ila anataka paper work tu ndo afanye, halafu wewe ulete data toka site.
Kuna mdau mmoja nilifanya nae project ya ufuta morogoro.Kwa mara ya kwanza watakuja kama nzige, baada ya miezi utasikia, nina udhuru, mtoto wa binamu ana sendoff siwezi kukosa sbb familia haitanielewa. Wa pili atakwambia leo Man U anakipiga na Real siwezi kosa hiyo mechi. Wa tatu atakwambia jumapili ni komunio sitafika site. bla bla bla mpaka kundi linaishia.
Ndo changamoto zetu hizoKuna mdau mmoja nilifanya nae project ya ufuta morogoro.
Aliniudhi hadi ile project nikaiachia njiani nikaenda kuanzisha nyingine peke yangu Kisarawe.
Kila week anatafuta sababu zisizoeleweka.
Toka wakati huo nikasema sifanyi mradi wowote na mtanzania mwenzangu. Wanamihemko mwanzoni. Badae wanakimbia ukifika muda wa mavuno ndo wanaanza kuulizia mmepata nini.
Dah wachina hapo ndo wanapo tupigia bao. Sijui tutafanyajeni tatizo sana. mkuu unakuata mmeanzisha kampuni la ujenzi na ww ni fundi bomba lakini unataka kukaa ofisini
mhasibu hataki kufanya kazi nyigine kwa ajili ya maendeleo ya kmpuni zidi ya kukaa ofisini. kila mtu anataka kua boss
Dah very Sad, shida yetu nini hasa? Sijui tumezaliwa na Tamaa au vipiBaba yangu mkubwa ni Engineer alianzisha kampuni ya ujenzi wa nyumba baadae akawaingiza watoto wake wawili mmoja kama mhasibu maana alisoma uhasibu TIA na mwingine ndo msimamizi msimamizi wa kampuni ili baadae waje kuwa warithi wa kampuni hiyo!
Baada ya miaka 3 akagundua mtoto wa kike alikua anachukua hela na kujenga gorofa bila yeye kujua!! Wakati wa kiume alianzisha Kampuni nyingine ya ujenzi kwa siri
unaelewa nn?
Haya mambo yanahitaji commitment sana, kama Malila anavuo sema yaani kuna changamoto sana sasa tunafanya nini?Yote uliyosema upo sahihi kabisa ndugu, niongezee tu haya:
1.Watz wengi hupenda kufanya KAZI KIDOGO na kufanya STAREHE SANA (tatizo)
2. Kukosa vision na msimamo (tatizo kubwa)
3.Kupenda shortcuts/overnight success
Now, what should be done? Change must begin with us. Kupitia hii thread we can do sth to change this.
Hapa jukwani tuna watu muhimu sana and they/we can change the course.Imagine wakiungana watu kama Chasha, Malila and Bavaria... I believe watafika mbali sana.
Sio kuweka kwenye soma la Ulai, shida ni Mind set zetu na kutaka kuonekana sana.Waafrica Ni shida sana,culture yetu Ni ya kutaka mafanikio ya faster tu. Wivu,uvivu ndo vimejaa mwetu. Lakin nahisi kuna njia ya kuweza kuandaa kizazi kijacho kikaanza kubadilka. Kuliweka kwenye mfumo wa elimu kwenye elimu ya uraia lakin pia Kwa kuweka Sheria Kali ya kudhibiti wa saliti . Na mahakama zetu zisiwe na upendeleo. Hiyo inaweza kusaidia Ila sijui lini litafanyika. Wenzetu hata wazungu wanalindana kazini lakin waafrica kazi kusutana, kuchongeana Kwa boss na kufukuzana tu Basi. Mungu atunusuru tu. But wachache mjaribu it can work
Hahaha Malila ni kweli halafu watu tunakuwa na Over expectations, na tunataka mafanikio hata kesho, ila ukiwaambia tutaanza kuona mafanikio baada ya 10 years hakuna anaye taka. Hii ndo shida kubwa sana tulio nayo.Mkuu kwenye paper work hakuna tatizo, tatizo lipo kwenye kutekeleza mliyoweka kwenye makubaliano. Tarehe ya kutoa fedha hizo kidogo zije mezani, unaanza kusikia udhuru. Ama, awamu ya kwanza mnatoa fresh, baada ya pale wadau wanaingia chaka, wakiona dalili fresh wanaanza kurudi kimya kimya na vitu vya ajabu.
Mkuu shida sio Makubaliona hata mgeenda kuapishana kwa Raisi wa nchi bado kutakuwa na shida. Tatizo ni tabia zetu.Ni kweli wachina wana ushirikiano sana nimefanya na wachina kazi ya wik 3 hvi nimeona hilo lakini pia hata sisi hiyo hofu ya kuzimana ni kweli ipo ndo maana tuna kampuni nying lakin haziend mbele sababu ya mitaji mi nazani mkiunda kampuni kuna haja kuwa makubaliano yaliyopo kwenye memart mnakubaliana nayo hasa upande wa kuweka share sawa.......
HahahaaaaKuna mzee mmoja aliniambia, " mtu akikuita Mswahili pigana kwa nguvu zako zote". Kipingi hicho nilikuwa chalii, leo ndio naelewa.
Hapo kwenye Uvimilivu ndo kuna shida kubwa sana na pia hapo kwenye wivu na tamaa.We kweli unaona bali sana, kwenye suala hili wabongo kushirikiana ni tatizo kubwa sana ndio maana hatuendelei shida kubwa ni hizi:
1. Uaminifu ni sufuri
2. Uchapakazi ni sufuri
3.Uvumulivu ni sufuri
4. Tunapenda shortcut 100%
5. Wivu usiokuwa na maana
6.Ubinafsi wa hali ya juu.
In short hatupendani na sio wazalendo ndo maana hata kiongozi akipata kaupenyo anapiga ileile.
Tukumbuke UMOJA NI NGUVU. mfano mtu ana 4M , akimshirikisha mwenzie mwenye 4M si mtaji wa 8M huo mnafanya biashara kubwa yenye mwelekeo. kampuni nyingi za kibongo au wabongo wanaoshirikiana wengi huishia kufarakana tu.
Tubadilikee.