KERO Kampuni Star Employment Service TZ nirejesheeni 11.2M nilizowapa mnitafutie ajira nje

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Pole kwa mashaka haya endelea kutafuta wakili mzuri udeal nao,,lakini pia iwe fundisho hizo millions 11 ungejaribu kuwekeza tu mwenyewe,labda ingekuwa poa zaidi kuliko hizo vitu.
 
huyu mtu nikimjua mimi naweza mfanyia mpango apate tuzo ya ujinga
 
Upo sahihi sana mkuu, kama mtu ameshindwa kuizungusha 11m ikamletea manufaa, hela ataishia kuiona kwa wenzie endapo hata badili akili yake
huyu dada kasoma hapo hapo akakosa akili ya kuzaliwa, yakusoma akakosa kweli akashindwa kutumia hata akili ya kuvukia barabara jamani
 
Awali, nilikuwa mwanafunzi niliyefanya kazi na kampuni nyingine nikiwa nchi za nje, lakini baadaye nilitamani kupata fursa ya kwenda kufanya kazi rasmi nchini Ujerumani.
Ngoja kwanza ume andika umesoma nje ya nchi na uko nje ukashindwa kutafuta kazi ukaomba mtu alie Tz akusaidie kutafuta kazi nje ya Tz
Lakini pia Iko kingereza kwenye hiyo barua Yako mbona kina nipa ukakasi kuamini kua umesoma nje ya nchi?
Embu nikaendelee kulima tu hakuna namna.
 
Pole sana mdogo angu, nimeumia sana, MUNGU atakujalia inshaallah, jitahidi uwaone VIONGOZI mbalimbali na uwapange kwanza kabla ya kiliwasilisha hili jambo kwenye mamlaka husika, mana unaweza poteza pesa zako Bure na pesa unazo dai usizipate.

Wakikulipa nakukaribisha tuwekeze ZACHARIA jr environment maintenance, najihusisha na upulizaji wa dawa, kuweka mazingira safi ikiwemo kukata nyasi kusafisha majumba viwanja bustani nk, nakuhakikishia kila mwisho wa mwezi utakua unapata marejesho huku ukiendelea na kazi zako mjini, mfano ukitoa milioni mbili, utakua UKIPATA laki mbili kila mwezi ndani ya miezi 20, ambayo ni sawa na milioni 4. nazingatia Sheria tusije kujikuta kwenye matatizo, Kwa kosa la ukusanyaji fedha bila kibali, hivo Kwa mawasiliano Zaid njoo dm tuyajenge sio lazima lakini.
 
Sema wabongo tunapenda sana kutumia madalaki mzee hiyo million 11 si mtaji kabisa unawexa kujiajiri. Unainekana unazo dada unatoa hela zote hizo na umepigwa tayari
 
Ninampongeza kwa dhati huyo tapeli kwa kukufundisha kwa vitendo kuwa ajira hainunuliwi. Ulichofanyiwa kiwe fundisho kwa wapumbavu wengine wasiojitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…