STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Pia kodiVyovyote boss ni hatua kubwa sana kwao Sisi ata kiwanda cha kuunganisha pikipiki pamoja na soko kubwa lililopo hatuna ukitaka kufungua kiwanda ni kazi kubwa na inaweza chukua si chini ya miezi name au mwaka kabisa kukamilisha kila kitu labda kama Raisi mwenyewe atalipigia chapuo