Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
Washapoteana tayari[emoji23][emoji23]wenzetu wako bize kuhamasisha mashabiki baada ya mashabiki kugoma kuhudhuria mechi za simbaa baada ya kula mkono. 5g
Uzinduzi Angani[emoji23][emoji23] kweli yanga ni next levelVideo sasa ya uzinduzi wa jezi na mdhamini mpya wa CAFCL aisee salute.
Wameua kwa kila kituUzinduzi Angani[emoji23][emoji23] kweli yanga ni next level
Uzi huu ni mzuri. Hata mimi nitautafuta.Huu uzi nimeuvulia kofiaView attachment 2821754View attachment 2821756
Umeanza kukomaa kiushabiki sasa mkuu. Ngoja tusibiri wanazi wenzio usishangae wakauponda uzi wa Yanga na kuusifu wa SimbaIla wanasimba tunachukuliwa poa sana, sasa mijezi gani ile ya kuuziana elfu 40, yani maumivu ya kupigwa hamsa hayajapoa bado mnatuletea matambara, tulishasema kama hamna mbunifu mfuateni hata sheria ngowi awabunie jezi, jezi ni biashara lazima uipe thamani yake yani value for money iwepo.
Hongereni sana wananchi hizo jezi hata zingeuzwa laki laki bado ingekuwa haitoshi ni kali mnoo.
Tukutane jangwani niko braza huu uzi lazima niununueUzi huu ni mzuri. Hata mimi nitautafuta.
Hapa yanga wametuliza akili.Uzi umeendaaa[emoji172][emoji169]
Ukweli mchungu nina mwaka karibia wa 4 sasa nashindwa kuvaa jezi za simba kwasababu hazinivutii.Umeanza kukomaa kiushabiki sasa mkuu. Ngoja tusibiri wanazi wenzio usishangae wakauponda uzi wa Yanga na kuusifu wa Simba
Aisee timu ipo kidigital zaidi, nimeipenda sana suprise yao [emoji169][emoji169]Wameua kwa kila kitu
1) Ubunifu wa uzinduzi ni wa kipekee sana
2) Jezi ni kali mno kuna sehemu niliona video nilijua ni timu ya ulaya, nikaja kustuka nilipoona logo ya Yanga kulia...
Mfano safari hii ameweka mo extra mara mbili kwenye jezi ila dewji ni mbahili sana na ukiwa mbahili sana huwezi pata vitu vizuriUkweli mchungu nina mwaka karibia wa 4 sasa nashindwa kuvaa jezi za simba kwasababu hazinivutii.
Hahahaha poleni sana mkuu. Viongozi wenu wanaleta masikhara kwenye hii biashara ya jeziIla wanasimba tunachukuliwa poa sana, sasa mijezi gani ile ya kuuziana elfu 40, yani maumivu ya kupigwa hamsa hayajapoa bado mnatuletea matambara, tulishasema kama hamna mbunifu mfuateni hata sheria ngowi awabunie jezi, jezi ni biashara lazima uipe thamani yake yani value for money iwepo.
Hongereni sana wananchi hizo jezi hata zingeuzwa laki laki bado ingekuwa haitoshi ni kali mnoo.