Kampuni ya Dubai kwenye jezi ya yanga

Kampuni ya Dubai kwenye jezi ya yanga

Mohamedex121

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
1,725
Reaction score
3,271
..Whizmo ni kampuni ambayo imeanzishwa na kumilikiwa na SHEIKH Saeed Bin Khalaf Bin Ahmed Al Otaiba kutoka abu dhabi Dubai.

- WHIZMO ni moja ya makampuni ya Whizpay Technology LLC.

- WHIZMO ndo neno linalosomeka mbele ya Jezi za Yanga kwa sasa kwenye Caf Champions League.

- Kampuni hii Makao yake Makuu ni DUBAI na inahusika na masuala ya miamala.

#NB: YANGA NI NEXT LEVEL

1700658832779.jpg
 
Uzinduzi Angani[emoji23][emoji23] kweli yanga ni next level
Wameua kwa kila kitu
1) Ubunifu wa uzinduzi ni wa kipekee sana.

2) Jezi ni kali mno kuna sehemu niliona video nilijua ni timu ya ulaya, nikaja kustuka nilipoona logo ya Yanga kulia.

3) Kifuani kakaa kampuni mpya kabisa tofauti na aliyekuwepo msimu uliopita.

4) Wamefanya bonge la surprise kwa makolofive wakijua Yanga msimu huu wa makundi hawana jezi mpya.
 
Ila wanasimba tunachukuliwa poa sana, sasa mijezi gani ile ya kuuziana elfu 40, yani maumivu ya kupigwa hamsa hayajapoa bado mnatuletea matambara, tulishasema kama hamna mbunifu mfuateni hata sheria ngowi awabunie jezi, jezi ni biashara lazima uipe thamani yake yani value for money iwepo.

Hongereni sana wananchi hizo jezi hata zingeuzwa laki laki bado ingekuwa haitoshi ni kali mnoo.
 
Umeanza kukomaa kiushabiki sasa mkuu. Ngoja tusibiri wanazi wenzio usishangae wakauponda uzi wa Yanga na kuusifu wa Simba
 
Ukweli mchungu nina mwaka karibia wa 4 sasa nashindwa kuvaa jezi za simba kwasababu hazinivutii.
Mfano safari hii ameweka mo extra mara mbili kwenye jezi ila dewji ni mbahili sana na ukiwa mbahili sana huwezi pata vitu vizuri
 
Ila wanasimba tunachukuliwa poa sana, sasa mijezi gani ile ya kuuziana elfu 40, yani maumivu ya kupigwa hamsa hayajapoa bado mnatuletea matambara, tulishasema kama hamna mbunifu mfuateni hata sheria ngowi awabunie jezi, jezi ni biashara lazima uipe thamani yake yani value for money iwepo.

Hongereni sana wananchi hizo jezi hata zingeuzwa laki laki bado ingekuwa haitoshi ni kali mnoo.
Hahahaha poleni sana mkuu. Viongozi wenu wanaleta masikhara kwenye hii biashara ya jezi
 
Back
Top Bottom