Kampuni ya Dubai kwenye jezi ya yanga

Nadhani ni wakati Simba waachane na MO kwenye matangazo, haiwezekani mtu aweke matangazo 3
 
Kolo mmevurugwa. Bado Àsec anakuja kufumua mshono, naona 7g inawahusu. Robo fainali mwaka huu mtaisikia tbc fm
 
Ila jezi mbaya
 
Hii namba nne umetumia hisia au mumeo ni shabiki wa kolofive ndio amekwambia hivyo?
 
Mzee mpili umesikika
 
Je Yanga mumepata Tsh Bilioni ngapi hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…