Kampuni ya Dubai kwenye jezi ya yanga

Kampuni ya Dubai kwenye jezi ya yanga

Nadhani ni wakati Simba waachane na MO kwenye matangazo, haiwezekani mtu aweke matangazo 3
 
Ila wanasimba tunachukuliwa poa sana, sasa mijezi gani ile ya kuuziana elfu 40, yani maumivu ya kupigwa hamsa hayajapoa bado mnatuletea matambara, tulishasema kama hamna mbunifu mfuateni hata sheria ngowi awabunie jezi, jezi ni biashara lazima uipe thamani yake yani value for money iwepo.

Hongereni sana wananchi hizo jezi hata zingeuzwa laki laki bado ingekuwa haitoshi ni kali mnoo.
Kolo mmevurugwa. Bado Àsec anakuja kufumua mshono, naona 7g inawahusu. Robo fainali mwaka huu mtaisikia tbc fm
 
Kujisifia ndicho kilichonikera.
FB_IMG_1700676195939.jpg

Jezi Mpya ya Simba.
 
..Whizmo ni kampuni ambayo imeanzishwa na kumilikiwa na SHEIKH Saeed Bin Khalaf Bin Ahmed Al Otaiba kutoka abu dhabi Dubai.

- WHIZMO ni moja ya makampuni ya Whizpay Technology LLC.

- WHIZMO ndo neno linalosomeka mbele ya Jezi za Yanga kwa sasa kwenye Caf Champions League.

- Kampuni hii Makao yake Makuu ni DUBAI na inahusika na masuala ya miamala.

#NB: YANGA NI NEXT LEVEL

View attachment 2821727
Ila jezi mbaya
 
Wameua kwa kila kitu
1) Ubunifu wa uzinduzi ni wa kipekee sana.

2) Jezi ni kali mno kuna sehemu niliona video nilijua ni timu ya ulaya, nikaja kustuka nilipoona logo ya Yanga kulia.

3) Kifuani kakaa kampuni mpya kabisa tofauti na aliyekuwepo msimu uliopita.

4) Wamefanya bonge la surprise kwa makolofive wakijua Yanga msimu huu wa makundi hawana jezi mpya.
Hii namba nne umetumia hisia au mumeo ni shabiki wa kolofive ndio amekwambia hivyo?
 
Ila wanasimba tunachukuliwa poa sana, sasa mijezi gani ile ya kuuziana elfu 40, yani maumivu ya kupigwa hamsa hayajapoa bado mnatuletea matambara, tulishasema kama hamna mbunifu mfuateni hata sheria ngowi awabunie jezi, jezi ni biashara lazima uipe thamani yake yani value for money iwepo.

Hongereni sana wananchi hizo jezi hata zingeuzwa laki laki bado ingekuwa haitoshi ni kali mnoo.
Mzee mpili umesikika
 
..Whizmo ni kampuni ambayo imeanzishwa na kumilikiwa na SHEIKH Saeed Bin Khalaf Bin Ahmed Al Otaiba kutoka abu dhabi Dubai.

- WHIZMO ni moja ya makampuni ya Whizpay Technology LLC.

- WHIZMO ndo neno linalosomeka mbele ya Jezi za Yanga kwa sasa kwenye Caf Champions League.

- Kampuni hii Makao yake Makuu ni DUBAI na inahusika na masuala ya miamala.

#NB: YANGA NI NEXT LEVEL

View attachment 2821727
Je Yanga mumepata Tsh Bilioni ngapi hapa?
 
Back
Top Bottom