Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Endeleeni tu na kauli zenu.
 
Hivi miradi ya china au japan inayoharibu mazingira paka kusababisha global warming mbona hawajawahi kuistopisha for the seek of goodness?

Mabebeberu wametuchezea akili. Simkubali meko ila kwa hili mabeberu wamezingua.

Komesha korona
 
Ndiyo akili zako zimegotea hapo?
 
Hivi miradi ya china au japan inayoharibu mazingira paka kusababisha global warming mbona hawajawahi kuistopisha for the seek of goodness??


Mabebeberu wametuchezea akili. Simkubali meko ila kwa hili mabeberu wamezingua

komesha korona
Sidhani kama wamestopisha mradi, walichofanya wao ni kutumia 'tool' waliyo nayo mkononi mwao nayo ni huo mkopo, kama mnaweza kuendelea bila mkopo sidhani kama wataleta majeshi yao kuwazuia.

Hao unaowasema including Marekani wenyewe huwa wanatumia mabavu ya kiuchumi kukiuka hata yale makubaliano waliyoshiriki wenyewe kuyaweka ili kunusuru mazingira (refer Kyoto protocol na USA).

Fimbo ya kumpigia Mnyonge ni tofauti na ile ya kumpigia Mwenye nguvu.

Ni sawa na uwe na jirani Masikini anayekusumbua kila akilewa, unaweza kumuweka ndani apate adabu, ila ikiwa vice versa utaishia kulalama tu.
 
Magufuli hawezi fanikiwa kwa lolote lile aliloliamzisha, mark my words dogo
 
Kwa maoni yangu inashangaza sana ukichukulia hatua tuliyo kuwa tumefikiaya umeme wa gesighafla awamu hii ikakimbilia ktk project tata ya bwawa la Selous! Sijui kama kulikuwepo mjadala wa maana kabla ya uamuzi huo.
 
Kwa hiyo recommendation ndo uamuzi?
 
Hiyo kampuni bila Sweden inakufa? Kweli vilaza wengi. Na bado, show ya Magu ndiyo kwanza inaanza. Kufika 2025 hao mabeberu watajua hawajui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi hautapata shida kwani tayari una guarantee na benki mbili za hapa ikiwamo CRDB ya 1.4 trillion na pia serikali inalipa on time. So hao Sweden hata wasijali, wakae watulie waangalie wanaume kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali itakua mbaya sana, ila mbona kama walisema tunajenga kwa pesa yetu wenyewe.
Hizi ni complex stuff Nyumbu hamwezi kuzielewa kirahisi. Hujui hata tofauti baina ya fedha za mkandarasi na fedha za mlipaji serikali. Asiyejua haambiwi jibu, ni kuwaacha tu gizani na ujinga wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa pesa za misaada ambazo mchangiaji mmojawapo ni Sweden.. Jiongeze kidogo basi

Jr[emoji769]
Ndo mmjue akili ya mtu tunae jibizana nae hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaaha.....

Kama namuona vile..

Dona Kantre bby
Nimewachukuwa ninyi wachache ili kuangalia akili yenu> Kama ni CHADEMA naelewa ni kwa nini munaandika haya, lakini kama ni wannachi kama mimi huko mitaani basi nawaonea huruma. Unashangilia nchi ya nje inayokwamisha mradi wa kukuletea umeme! Nadhani tuna matatizo vichwani.

Mmoja wenu anaweza kutueleza sababu inayomfurahisha? Au nanyi munasema mazingira? Munaona hao ni watetezi wa mazingira yenu, siyo? Rubbish brain! Walipowauza utumwa hawakuona utu wenu?
 
Wabaya sana hawa jamaa, wanatunyimaje msaada na sisi ni donor country wenzao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Project ikiisha urudi kuandika tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…