Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Ukiniruhusu nikuguse jicho ndio utajua mm taahira au mzima.Zwazwa mkubwa wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inamaanisha kila kampuni itakayopewa tenda lazima ipigwe pini.Hali itakua mbaya sana, ila mbona kama walisema tunajenga kwa pesa yetu wenyewe.
Ule wa gas uliishia wapiNimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Hawa wajinga wanataka tusipate umeme Tuendelee kukaa kwenye giza kwa kisingizio cha urithi wa Dunia ?
I hate these P..igs
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Kwa maoni yangu inashangaza sana ukichukulia hatua tuliyo kuwa tumefikiaya umeme wa gesighafla awamu hii ikakimbilia ktk project tata ya bwawa la Selous! Sijui kama kulikuwepo mjadala wa maana kabla ya uamuzi huo.
Haya weeeee !!!Hii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu.
ElSewedy Electric Co
The Council on Ethics recommends that Elsewedy Electric Co be excluded from investment by the fund due to an unacceptable risk that the company is contributing to or is itself responsible for serious environmental damage
Elsewedy Electric is an Egyptian electrical power company and one of two partners in a joint venture which builds a dam and a hydroelectric power plant on the Rufiji River at Stiegler’s Gorge in Tanzania.
The entire project is located inside the Selous Game Reserve, which has been included on UNESCO’s list of World Heritage Sites in Danger. The reserve is also one of the last remaining large-scale wilderness areas in Africa and considered of extraordinary importance for the preservation of biodiversity. The hydroelectric power plant will cause widespread and irreversible damage to the world heritage site’s outstanding universal values. Mitigating measures would have little impact on this outcome.
The Council on Ethics submitted its recommendation 2 July 2019. Norges Bank published its decision to exclude the company on 12 May 2020.
ElSewedy Electric Co - Council on Ethics
Wapi, Uchina?Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Mkataba ni kati yetu sisi na Elsewedy mkataba kati ya Elsewedy na wafadhili wake ambao mojawapo ni sweden sisi hautuhusu.
Ni wajibu wa Elsewedy kutafuta mfadhili mwingine ili wakamilishe mradi wetu tuwalipe chao.
Kama umewahi kujenga mradi wowote kwa kupitia kampuni utaelewa kuwa mkataba wa kampuni na wafadhili wake wewe haukuhusu.
Isitoshe mradi wa Stiglers unajengwa na kampuni mbili tanzu, iwapo Elsewedy watashindwa kupata mfadhili mradi utaendelea japo utachelewa kukamilika.
Naona wachangiaji wengi wamechangia kwa chuki kiasi cha kupofusha uwezo wao wa kupambanua mambo madogo kama haya.
Kufurahia kufeli kwa huu mradi ni upumbavu mkubwa kwasababu huu mradi sio JPM ni mradi wa Watanzania wote na vizazi vijavyo.
Kama hali ingekuwa ni ya kawaida, hapa tungesimama na rais wetu kuwapinga kwa nguvu zote hawa watu."The reserve is also one of the last remaining large-scale wilderness areas in Africa and considered of extraordinary importance for the preservation of biodiversity. The hydroelectric power plant will cause widespread and irreversible damage to the world heritage site’s outstanding universal values. Mitigating measures would have little impact on this outcome."
Hivi umeme wa gas ulifia wapi wakati kipindi kile cha vurugu Mtwara tuliaminishwa utakuwa wa uhakika na kuni hazitotumika tena kama nishati ya kupikia?Nimewachukuwa ninyi wachache ili kuangalia akili yenu> Kama ni CHADEMA naelewa ni kwa nini munaandika haya, lakini kama ni wannachi kama mimi huko mitaani basi nawaonea huruma. Unashangilia nchi ya nje inayokwamisha mradi wa kukuletea umeme! Nadhani tuna matatizo vichwani.
Mmoja wenu anaweza kutueleza sababu inayomfurahisha? Au nanyi munasema mazingira? Munaona hao ni watetezi wa mazingira yenu, siyo? Rubbish brain! Walipowauza utumwa hawakuona utu wenu?
Umejitahidi sana, lakini unajitia upofu tu mwenyewe.Mkataba ni kati yetu sisi na Elsewedy mkataba kati ya Elsewedy na wafadhili wake ambao mojawapo ni sweden sisi hautuhusu.
Ni wajibu wa Elsewedy kutafuta mfadhili mwingine ili wakamilishe mradi wetu tuwalipe chao.
Kama umewahi kujenga mradi wowote kwa kupitia kampuni utaelewa kuwa mkataba wa kampuni na wafadhili wake wewe haukuhusu.
Isitoshe mradi wa Stiglers unajengwa na kampuni mbili tanzu, iwapo Elsewedy watashindwa kupata mfadhili mradi utaendelea japo utachelewa kukamilika.
Naona wachangiaji wengi wamechangia kwa chuki kiasi cha kupofusha uwezo wao wa kupambanua mambo madogo kama haya.
Kufurahia kufeli kwa huu mradi ni upumbavu mkubwa kwasababu huu mradi sio JPM ni mradi wa Watanzania wote na vizazi vijavyo.
Endelea kuunga doti alafu malizia na yule waziri wa mambo ya ndani aliyetumbuliwa.Kumbe haya makampuni hayana uwezo wa kifedha, yanategemea kukopa toka kwa mabeberu. Nilijiuliza sana hawa waarabu utaalamu wa kujenha haya majitu makubwa hivi na expertise ya hali ya juu wameutoa wpi? Kumbe ni ubia na wazungu.....Norwegians ambao wako juu sana katika oil and gas exploration ... ambayo inajumuisha na vitu kama dams etc etc!
Hoja yangu, why not go to Norway directly ukawapa tender ya kujenga mradi huo? I stand to be corrected! It seems to me, huyu Elsawedy ni middle man ?????
Imetengewa bajeti this year Kwenye wizara ya nishatiKwa pesa za misaada ambazo mchangiaji mmojawapo ni Sweden.. Jiongeze kidogo basi
Jr[emoji769]
Sasa ndio nimejua kiwango cha maarifa yako kichwani. Wewe ni mweupee! Sasa ngoja nikufahamishe. Ile project inahitaji trillion shs 7 ! Bajet ya Wizara haizidi hata trillion 1.sasa asilimia 60 ni bilioni kama 400 tu. Bado unadhati mradi utaendelea? UMEKUFA KIFO CHA MENDE!! Full stop.Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Hawa wajinga wanataka tusipate umeme Tuendelee kukaa kwenye giza kwa kisingizio cha urithi wa Dunia ?
I hate these P..igs
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Afu kuna mishenzi inasherehekea, mijitu kama hiyo ikipotezwa nayo kuna vima wataibuka kuililia...haya bhana!Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Hawa wajinga wanataka tusipate umeme Tuendelee kukaa kwenye giza kwa kisingizio cha urithi wa Dunia ?
I hate these P..igs
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Mpumbavu wewe ushautembelea hiyo project? unajua kwa sasa ishafikia asilimia ngapi? unajua ni kiasi gani kishalipwa? maandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, tuliza makalio yako acha wanaume wafanye kazi.Sasa ndio nimejua kiwango cha maarifa yako kichwani. Wewe ni mweupee! Sasa ngoja nikufahamishe. Ile project inahitaji trillion shs 7 ! Bajet ya Wizara haizidi hata trillion 1.sasa asilimia 60 ni bilioni kama 400 tu. Bado unadhati mradi utaendelea? UMEKUFA KIFO CHA MENDE!! Full stop.
Kama wewe na mmeo ndo Taifa basi endeleeni kuangamia.Akili za ajabu kweli kweli ndio maana kama taifa tunazidi kuangamia kila siku.
Mimi najua hata asilimia 15 hawaja fika. Hata wangefikia 40% the project so far is no more. Tuliwaambia CCM kumejaa wajinga.Take it from me kamwe hautaendelea.Na kinacho fuata Tanzania yenyewe itaingizwa katika kibano kitakatifu. Wait and see.Mpumbavu wewe ushautembelea hiyo project? unajua kwa sasa ishafikia asilimia ngapi? unajua ni kiasi gani kishalipwa? maandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, tuliza makalio yako acha wanaume wafanye kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app