Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Hali itakua mbaya sana, ila mbona kama walisema tunajenga kwa pesa yetu wenyewe.
Hii inamaanisha kila kampuni itakayopewa tenda lazima ipigwe pini.
Je ni kampuni gani haitowemewa vikwazo? Je itakubali kuendelea na ujenzi kwa gharama gani?
Hao mabeberu ni noma sana! Wamesubiri mrafi umefika hatua, wakatibua mchezo.
Kuna haja ya kuishi nao kwa akili kama wao wanavyoishi nasi, si manguvu.
 
Ule wa gas uliishia wapi
 
Kwa maoni yangu inashangaza sana ukichukulia hatua tuliyo kuwa tumefikiaya umeme wa gesighafla awamu hii ikakimbilia ktk project tata ya bwawa la Selous! Sijui kama kulikuwepo mjadala wa maana kabla ya uamuzi huo.

Ile gas mikataba yake unajua ina nn ndani yake? Dunia nzima umeme bei rahisi ni wa maji, ila Kinyerezi inatumia gas kuzalisha umeme, hivyo gas imetusaidia pia
 
Tatizo ni wanaotuongoza mpaka tuondokane nao ndio mambo yatakuwa vizuri.
 
Haya weeeee !!!
 
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Wapi, Uchina?
Huko nako watawakumbusha Bagamoyo!

Haya mambo hayahitaji papara. Hakuna lazima yoyote ya kutotumia akili ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu kuwanyamazisha hawa unaowaita ..."P...igs".

Ni kukosa akili (weledi), ndio maana mambo yanakuwa kama hivi yanavyotokea sasa.

Siwaungi mkono hao 'p...gs', lakini kutojua njia za kuwanyamazisha ndio ujinga wetu ulipo.
 

Akili za ajabu kweli kweli ndio maana kama taifa tunazidi kuangamia kila siku.
 
hao jamaa waliambiwa kitakachotokea endapo wataamua kujihusisha na ujenzi wa bwawa hilo hivyo walijua wazi kabisa kuna madhara kwao na kama hawakujipanga basi ndo ishakula kwao hiyo, yaani si kwamba hawatapata pesa za kujengea mradi huu bali watakuwa wamejikosesha sifa ya kukopesheka na taasisi za kifedha za kimataifa zoote.
 
Kama hali ingekuwa ni ya kawaida, hapa tungesimama na rais wetu kuwapinga kwa nguvu zote hawa watu.

Lakini hali ya nchi yetu siyo ya kawaida kabisa.

Inaudhi sana mtu toka nje kuja kukuamlia mambo ya kufanya nyumani kwako kwa manufa ya wananchi wako. Huu ni upuuzi usiokubalika.

Sasa inabidi baadhi ya wananchi wetu washangilie maamuzi kama haya, kwa sababu tofauti kabisa na ya hao mabeberu.
 
Hivi umeme wa gas ulifia wapi wakati kipindi kile cha vurugu Mtwara tuliaminishwa utakuwa wa uhakika na kuni hazitotumika tena kama nishati ya kupikia?
CCM wamekuwa matapeli wasioogopa hata Mungu aliyewaumba
 
Umejitahidi sana, lakini unajitia upofu tu mwenyewe.

Kampuni haihusiki na eneo ililokabidhiwa kufanya mradi huo. Hilo ni tatizo la mwenye mradi.
 
Endelea kuunga doti alafu malizia na yule waziri wa mambo ya ndani aliyetumbuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndio nimejua kiwango cha maarifa yako kichwani. Wewe ni mweupee! Sasa ngoja nikufahamishe. Ile project inahitaji trillion shs 7 ! Bajet ya Wizara haizidi hata trillion 1.sasa asilimia 60 ni bilioni kama 400 tu. Bado unadhati mradi utaendelea? UMEKUFA KIFO CHA MENDE!! Full stop.
 
Afu kuna mishenzi inasherehekea, mijitu kama hiyo ikipotezwa nayo kuna vima wataibuka kuililia...haya bhana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu wewe ushautembelea hiyo project? unajua kwa sasa ishafikia asilimia ngapi? unajua ni kiasi gani kishalipwa? maandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, tuliza makalio yako acha wanaume wafanye kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najua hata asilimia 15 hawaja fika. Hata wangefikia 40% the project so far is no more. Tuliwaambia CCM kumejaa wajinga.Take it from me kamwe hautaendelea.Na kinacho fuata Tanzania yenyewe itaingizwa katika kibano kitakatifu. Wait and see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…