Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Yani MICHADEMA na MITUNDULISU sijui akili zao Ni za hovyo kabisa.
Uzuri ni kwamba Corona haidanganyi! Tuliwaambia itaua Wengi mkabisha. Wait May and June is now here to prove who was right and who was wrong!!
Stiegler's gorge project ndio imefikia kikomo. Tumieni akili sometimes. Jambo lililo mshinda Nyerere aweze JPM you must be kidding.
 
Mimi najua hata asilimia 15 hawaja fika. Hata wangefikia 40% the project so far is no more. Tuliwaambia CCM kumejaa wajinga.Take it from me kamwe hautaendelea.Na kinacho fuata Tanzania yenyewe itaingizwa katika kibano kitakatifu. Wait and see.
Project itakamilika, endeleeni kuwashwa na mfahamu tu kwamba yo days are numbered! hakuna kipya, yanayofanywa sasa hakuna ambaye hakuyategemea, na yako na utatuzi wake kitambo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamvi,

Nimepokea kwa masikitiko makubwa kwamba Kampuni inayo tengeneza umeme wa maporomoko makubwa ya Rufiji almaarufu kama Stiegler's gorge imekutana na rungu la mabeberu. Hii ina maana moja tu kwamba ili kulinda kampuni yao hawana option zaidi ya kujiondoa kwenye mradi. Hawawezi kuendelea kwasababu waliotegemea kuwakopesha watakuwa black listed na kutengwa na dunia.

Tulitoa ushauri mkadhani sisi siyo wazalendo. Kuwa mzalendo haimanishi uunge mkono hata mambo ambayo baadae yataiangamiza Nchi. Kifupi ni kwamba the project is no more. Full stop. Failure number one. Mnahesabu lakini?

Pili, Mwanzoni kabisa wenye akili tulishauri kwamba ni muhimu serikali ikafuata maelekezo ya kidunia na Kisayansi lakini viongozi wakakaidi.Sasa matokeo yake ni kwamba inaelekea soon Nchi itakuwa ni Epercenter ya corona! Unajua nini maana yake? Watalii wamegoma kuja! Utalii ume palalyse! Very soon Nchi majiri watatunyanyapaa kama wenye ukoma. Uchumi utaathiri pakubwa sana.

Shilling imesha anza kuporomoka. Kufikia July huko everything will be crystal clear nani alikuwa mzalendo wa kweli.

Tatu, katika zama hizi kujaribu kufuta upinzani kwa mtutu wa bunduki ni kuchagua ujinga. Ni mbio za sakafuni. Kama Nchi kamwe hatuwezi kugharamia uchaguzi kwa fedha zetu wenyewe! NEVER. Jiulizeni kimya kingi hiki ni cha nini?

Failure number three! Mimi nahesabu. Ninyi wazalendo koko zindukeni. Teteeni nchi kuliko CCM. Au Magufuli. Akikosea mwambieni ukweli.
 
Project itakamilika, endeleeni kuwashwa na mfahamu tu kwamba yo days are numbered! hakuna kipya, yanayofanywa sasa hakuna ambaye hakuyategemea, na yako na utatuzi wake kitambo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
You are fooling yourself! Wenye akili zetu tulijua kitambo. Duniani tunategemeana. Ukiamua kuishi utakavyo jipange!
 

Eti mawe anajifanya kushindana na superpowers,subutuu!

Hiyo ni stage 1

Bado mpaka stage 10,stage 2 follows up!
 
Beberu ni mtu hatari sana,unatakiwa uende naye taratibu kwa mahesabu. ukikurupuka hutoboi tena ukiwa jeshi la mtu mmoja
 

Mkuu

Wakubwa wenye dunia yao washaamua bwawa halijengwi

Sasa hela utazipata na utapitisha wapi?

Financial system globally ni owned by the west!

Nendeni China halafu wataifishe nchi kabisa!

Hii dunia ni diplomacy,na jiwe ana zero in that!
 
Yatupasa tujiulize Endapo swala la umeme huo likifanikiwa wewe mtoa mada litakuathiri vipi? Naomba nipatiwe jibu hapa

Hakuna nchi duniani imefanikiwa ktk viwanda huku ikiwa na umeme wa kusuasua fungueni akili hata kama tunampinga jiwe. Leo hata ikitokea nchi ikatengwa kwa kurutubisha madini ya uranium mimi nitaunga mkono

China wanaumeme wa uhakika ndio maana mnaagiZa bidhaa huko.
Nchi za ulaya na marekani ndio usiseme nishati ya uhakika.

Kosa la Magufuli ni lipi kutaka umeme wa uhakika? Inasikitisha sana hata kama tunapinga tupinge ila si kwa mambo ya kitaifa tusimame pamoja.
 
Una elewa unachokiandika wewe kapuku! huoni mradi kuathirika kwa kigezo gani hasa? Tafsiri ya kutengwa 60% unaijua? umejiridhisha juu ya sources of funding the project to reach such expected percent?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni changamoto katika utekelezaji wa miradi mikubwa kama hiyo, hakuna kurudi nyuma, mbadala wake utapatikana tu, natumai mradi hautafeli.
 
Usibabaishwe na hizo multiple accounts za waloko ughaibuni, hili tulijua litatokea na plan B ipo, project lazima ikamilike na Corona haitomuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere hakushindwa kujenga mradi huo bali aliheshimu mikataba ya kimataifa badala yake alijenga Mtera na mabwawa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…