Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna mtu anatukataza waafrika kuwa na mifumo yetu ya kujiongoza!!??Hujui kiss ni Nini?!? Interesting ...because of neo-colonialism...And of course kwa kuiga mfumo wa maisha ya ulaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu anatukataza waafrika kuwa na mifumo yetu ya kujiongoza!!??Hujui kiss ni Nini?!? Interesting ...because of neo-colonialism...And of course kwa kuiga mfumo wa maisha ya ulaya...
Hushangai kuna mtu alifurahi Lissu kupigwa risasi huku akimbatiza jina kuwa ni mtoro katelekeza jimbo? Wacha afurahi tu.Inaelekea unafurahia kinachotokea kuhusu matatizo
Weka sifa tano tu za "strong leader"!! maana unadhani labda kufanya mambo kwa kutumia mabavu ndiyo U- strong wenyewe!!Strong leaders ndio hawa kina JPM hawataki kumnyenyekea mtu,
Hujakatazwa...endelea tu na maisha yako...hutaki mjadala unaojenga ...unaleta hoja za kitoto...Kuna mtu anatukataza waafrika kuwa na mifumo yetu ya kujiongoza!!??
Alikuwa anasema "zis iz dona kantri" huku kasuka wake wakirudia rudia hayo maneno.Imekuja kutuaibisha nchi haina akiba ya fedha wakati tulikuwa tukiambiwa tuna fedha za kutosha miaka mitano
Utoto wa hoja hii ni nini? Jee huo ukoloni mamboleo na mifumo mibovu ya kujiongoza waafrika wanalazimishwa kuendelea nayo??Hujakatazwa...endelea tu na maisha yako...hutaki mjadala unaojenga ...unaleta hoja za kitoto...
Sasa Cha ajabu hapo Nini? Wewe hukuona Gadaffi ameuawa baadhi akiwemo Clinton (mke) wakafurahi?!?Hushangai kuna mtu alifurahi Lissu kupigwa risasi huku akimbatiza jina kuwa ni mtoro katelekeza jimbo? Wacha afurahi tu.
Watu WASIOJULIKANA!! The Geheime Staatspolizei, abbreviated Gestapo, was the official secret police of Nazi Germany and German-occupied Europe. The force was created by Hermann Göring in 1933 by combining the various security police agencies of Prussia into one organisationTunaogopa Gestapo mzee
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Sasa Kama ni maoni yako we umeona mimi nimeandika maoni yako? Umeona mahali katukanwa? Kumwambia awe anahudumia Kwanza mwanae ndio atoe wazo zurii Ni tusi? Tafakri chukua hatuaNyie acheni kuleta ushakunaku humu...Mtu anaandika maoni yake,hana nia mbaya na hajakutukana,unaanza kumporomoshea mitusi kisa hujapendezwa na maoni yake!! Kwan uliambiwa hii ni forum yenye mijadala na maoni ya kukufurahisha wewe? Au ungeanzisha yako boss.
Huyu dogo mihuaga nampotezea
Sweden anatuchangia kiasi gani halisi achana na anachoahidi? Ni swali kwa ajili ya uelewa tu.Kwa pesa za misaada ambazo mchangiaji mmojawapo ni Sweden.. Jiongeze kidogo basi
Jr[emoji769]
Nchi rafiki🤣🤣🤣🤣Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
JiweTOA MFANO WA WATU TECHNICAL WALIOTEULIWA WAKIWA NA UWEZO MDOGO KULIKO WANAOWAONGOZA
Acha kuwashwawashwa utakunwa si muda mrefu. Mimi nimemjibu aliyesema kuna "kuna watu wamefurahi hao mnaowaita mabeberu kuzuia mkopo" na mimi nimemkumbusha kuhusu Lissu kuna watu walifurahi kwa yaliyomkuta.Sasa Cha ajabu hapo Nini? Wewe hukuona Gadaffi ameuawa baadhi akiwemo Clinton (mke) wakafurahi?!?
Ndiyo maana mimi namfananisha na mtu nusu ila nusu Mbwa maana ameshajitoa akili kwa kiwango cha hali ya juu sana