Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Imekuja kutuaibisha nchi haina akiba ya fedha wakati tulikuwa tukiambiwa tuna fedha za kutosha miaka mitano
Alikuwa anasema "zis iz dona kantri" huku kasuka wake wakirudia rudia hayo maneno.
 
Hujakatazwa...endelea tu na maisha yako...hutaki mjadala unaojenga ...unaleta hoja za kitoto...
Utoto wa hoja hii ni nini? Jee huo ukoloni mamboleo na mifumo mibovu ya kujiongoza waafrika wanalazimishwa kuendelea nayo??
 
Hushangai kuna mtu alifurahi Lissu kupigwa risasi huku akimbatiza jina kuwa ni mtoro katelekeza jimbo? Wacha afurahi tu.
Sasa Cha ajabu hapo Nini? Wewe hukuona Gadaffi ameuawa baadhi akiwemo Clinton (mke) wakafurahi?!?
 
Tunaogopa Gestapo mzee
Watu WASIOJULIKANA!! The Geheime Staatspolizei, abbreviated Gestapo, was the official secret police of Nazi Germany and German-occupied Europe. The force was created by Hermann Göring in 1933 by combining the various security police agencies of Prussia into one organisation

Ila Tanzania ni yetu sote, ukiuawa na GESTAPO wakati unatetea masilahi MAPANA ya Watanzania, jina lako litaandikwa kwa wino wa DHAHABU kwa Muumba wetu.
 
Tupambane na hali zetu
IMG_20200513_130109.jpeg
 
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi

Sioni mradi ukiathirikia

Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia

Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki

Hiyo budget ni kwaajili ya kufyeka miti tu
 
Nyie acheni kuleta ushakunaku humu...Mtu anaandika maoni yake,hana nia mbaya na hajakutukana,unaanza kumporomoshea mitusi kisa hujapendezwa na maoni yake!! Kwan uliambiwa hii ni forum yenye mijadala na maoni ya kukufurahisha wewe? Au ungeanzisha yako boss.
Sasa Kama ni maoni yako we umeona mimi nimeandika maoni yako? Umeona mahali katukanwa? Kumwambia awe anahudumia Kwanza mwanae ndio atoe wazo zurii Ni tusi? Tafakri chukua hatua
 
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi

Sioni mradi ukiathirikia

Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia

Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Nchi rafiki🤣🤣🤣🤣
 
Sasa Cha ajabu hapo Nini? Wewe hukuona Gadaffi ameuawa baadhi akiwemo Clinton (mke) wakafurahi?!?
Acha kuwashwawashwa utakunwa si muda mrefu. Mimi nimemjibu aliyesema kuna "kuna watu wamefurahi hao mnaowaita mabeberu kuzuia mkopo" na mimi nimemkumbusha kuhusu Lissu kuna watu walifurahi kwa yaliyomkuta.
 
Hapa ndipo Tanzania ya CCM Mpya itaona umuhimu wa kuwa na ushawishi kikanda na kimataifa kupambana na changamoto ktk hii badala ya kujitenga kimataifa na kidiplomasia.

Somo la diplomasia :
May 12, 2020
Bernard Membe anazungumzia umuhimu wa uhusiano wa Tanzania na nchi za nje ili kujenga ushawishi

Back
Top Bottom