Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.
Sasa Dodoma kuna nini? Mawaziri wote wako DSM, wakiwa Dodoma ni kipindi cha Bunge au shughuli za awareness . Yeye mwenyewe Jiwe yuko Chatto ni juma la saba toka amekwenda. Akirudi atakuja DSM, huwa anakwenda Dodoma kukiwa kuna mikutano ya kimkakati ya CCM na Bunge.

Kule mji wa Serikali wa Mtumba Mawaziri wamejenga ofisi lakini huwakuti ukiwa na shida kama wako Dodoma. Sana sana utawakuta kwenye Ofisi za mjini Dodoma ambazo bado wana maintain. Wanakwenda Mtumba siku wakiambiwa Jiwe yuko Dodoma.

Hii ndiyo reality kuhamia DODOMA ni kati ya misuse ya fedha za walipa kodi kwa hali ya juu. Na mark hii post yangu leo, Rais ajaye hata kama atatoka CCM atarudisha Ikulu Dar Es Salaam.
 
Daah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
Ukiwa na maana aliyepiga tundu ndiye anaye umia au?
 
Brother tuwe wazalendo kidogo! Pengine ni kweli isingeleta tija kwa ambao wana ajira, ila ambao hawana ajira ingekuwa na tija... Tusiwe wabinafsi kuna raia kibao wanasubiri izo ajira bro... Na watumishi wachape kazi kama mkuu anavyosema!!! Masilai mazuri ni pamoja na izo project kukamilika! Me naamini Raisi anawafikiria watumishi na anajua changamoto walizonazo tuwe na subira

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo miaka 5 yote anawaza wao jema kwa watumishi?.
Kuhitajika kwa projects hizi kusiwe sababu ya kutokuboresha au kusimamisha maslahi ya watumishi.

Unajua wengine 2015/2016 walistahili kupanda vyeo/madaraja kwa mujibu wa sheria za utumishi na sasa ni 2020 mtu hajui cheo kipya then unamwambia achape kazi.

Kama mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa askari na maofisa wa majeshi yetu mtiririko wao wa kupanda vyeo haujaathiriwa. Vipi nao haya maprojects hayawahusu?
Go to hell all projects
 
Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.
Wazo la kuhamia Dodoma lilikuwa na maana kwa wakati wake lakini lilishapitwa na wakati, huyu kalazimisha ili apate sifa binafsi. Niambie wewe nini maana ya kuhamia Dodoma na ina tija gani kwa Nchi
 
Kama vipi tuwabambikizie kesi ya kuhujumu uchumu hao wajamaa wa Sweden au?
 
Hata kama simkubali magufuli ila hizi ni hujuma kwa nchi hawataki tuwe na umeme wa uhakika pumbavu kabisa
 
Kwa pesa za misaada ambazo mchangiaji mmojawapo ni Sweden.. Jiongeze kidogo basi

Jr[emoji769]
miradi ya kimkakati kama huu Mzungu hawezi kukufadhili bure hata siku 1.
unapoambiwa kwamba tunajenga kwa fedha yetu maana yake serikali inagharamia kwa 100% hata kama inakopeshwa leo lakini kesho italipa 140% ys gharama ya mradi pamoja na riba.
 
Hii Covd -19 Tumwombeni Tu Mungu anusuru chumi zetu, kwa majirani zetu wanaotuzunguka kama Hali hii, ikiendelea na mabeberu kama hayatafuta madeni Africa, basi nchi moja baada ya nyinge zitafirisiwa kabisa, deni la nchi jirani linafikia 60% ya pato lote la nchi, na bado Hali ni mbaya na bado tena mabeberu yametoa mwanya Kwa nchi za Africa kukopa ili zijisaidie kudhibiti Hali ya maambukizi na nchi hiyo inachukua tena huo mkopo

Sasa shirika la fedha duniani IMF limeinyoshea kidole hiyo nchi Kwa kuionys

Kama ndio hivyo kunahatari ya Mabeberu kuja kuanza kujilipa au kuzikalia nchi zetu kama enzi hizooo!!!, Isee Mungu ainusuru Africa
 
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi

Sioni mradi ukiathirikia

Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia

Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Hujui usemalo
 
Kwahiyo miaka 5 yote anawaza wao jema kwa watumishi?.
Kuhitajika kwa projects hizi kusiwe sababu ya kutokuboresha au kusimamisha maslahi ya watumishi.
Unajua wengine 2015/2016 walistahili kupanda vyeo/madaraja kwa mujibu wa sheria za utumishi na sasa ni 2020 mtu hajui cheo kipya then unamwambia achape kazi.
Kama mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa askari na maofisa wa majeshi yetu mtiririko wao wa kupanda vyeo haujaathiriwa. Vipi nao haya maprojects hayawahusu?
Go to hell all projects

Pia kodi maalum ya ujenzi wa reli ya SGR inatakiwa ulipie ukiingiza kitu toka nje ya nchi inawahusu waTanzania wote

https://taxsummaries.pwc.com › oth...
Tanzania - Corporate - Other taxes - Worldwide Tax Summaries

22 Nov 2019 · Most imports are also subject to Railway Development Levy of 1.5% (except goods that .
 
Hujakatazwa...endelea tu na maisha yako...hutaki mjadala unaojenga ...unaleta hoja za kitoto...
Kwanza wewe babu hata hiyo chupi yako uliyovaa imetengenezwa huko kwa mabeberu. Kima wewe. Jitambue kwanza kabla ya kubwabwaja humu ndani.
 
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi

Sioni mradi ukiathirikia

Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia

Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki

Hiyo 60% yenyewe ipo? Au hujui nayo ni mpaka kuomba hawa mabeberu?!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom